VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

Kwakweli hii ni aibu kubwa sana, sio kwa Tanzania, bali kwa kenya kama taifa. Hivi pamoja na Kenya kujipambanua kama taifa ambalo kielimu lipo juu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, bado hata historia rahisi kama hii hawaijui? Hii ni Ajabu kweli. Hata kama tunasema sisi watanzania ni Mazuzu lakini wao wamezidi. Nimewahi sikia hata waimbaji wa nyimbo za injili wa kitanzania kule kenya wanajua kuwa ni wakenya wenzao. Hawa jamaa naona ni wavivu wa kupindukia katika kufanya utafiti. Aibu sana kwa Taifa kama kenya.
 
Hawa watu dawa yao donald trumph
Samahani. Unafahamu hii speech huyu dada aliitolea wapi. I mean hapo ilikuwa wapi? Nimejaribu kulitafuta hilo jina la tabitha Gilbert aliyepost kwenye Facebook lkn nimekutana watu wengi kweli wenye jina hilo nikashindwa kujua who is who. Lengo langu ilikuwa ni kumpata huyu dada nimuhoji kwa nini anadanganya hadharani kiasi hiki bila uoga wala aibu. Pia nilitaka kujua hapo alipotoa hiyo hotuba palikua ni wapi na waandaaji kina nani ili niwaandikie email kuwataarifu kwamba huyo dada aliongea uongo kwa makusudi. Lakini nimeshindwa kuwapata.
Anaitwa Rosemary Odinga mtoto wa Raila Odinga yupo Facebook na Twitter. Nishamtumia msg. Hapa ni kampeni hadi akanushe alichokisema mbele ya UN. Wajue tupo macho huko nyuma tulilala sana ndio maana wamezoea
 
Kwakweli hii ni aibu kubwa sana, sio kwa Tanzania, bali kwa kenya kama taifa. Hivi pamoja na Kenya kujipambanua kama taifa ambalo kielimu lipo juu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, bado hata historia rahisi kama hii hawaijui? Hii ni Ajabu kweli. Hata kama tunasema sisi watanzania ni Mazuzu lakini wao wamezidi. Nimewahi sikia hata waimbaji wa nyimbo za injili wa kitanzania kule kenya wanajua kuwa ni wakenya wenzao. Hawa jamaa naona ni wavivu wa kupindukia katika kufanya utafiti. Aibu sana kwa Taifa kama kenya.
Kuna kampeni ya kumuandikia huyo dada twitter na facebook hadi akanushe, jiunge braza. Usiwaone mazuzu wanajua wanachokifanya wakati tuko kwenye mitandao tunangangana wako busy wanatuibia watalii
 
Kuna kampeni ya kumuandikia huyo dada twitter na facebook hadi akanushe, jiunge braza. Usiwaone mazuzu wanajua wanachokifanya wakati tuko kwenye mitandao tunangangana wako busy wanatuibia watalii
Ni lazima nitajiunga. Huu usanii sasa umezidi kiwango, Hadi kufikia mahali pa kuiona dunia nzima ni wajinga na wasioweza kujua ukweli?! Nimeshangaa mpaka sina maelezo ya kutosheleza kuonyesha mshangao wangu. Tusubiri kesho au keshokutwa watakapouambia ulimwengu kwamba Dodoma ipo Katikati kabisa ya Kenya. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni.
 
This is a serious issue. Ni lazima Balozi wa kenya Tanzania awe summoned atueleze lini olduvai imekuwa huko kenya. Now I can appreciate what Uhuru Kenyatta said recently about his own people.
Magembe na Nape wasipokana hadhari tens BBC sitawaelewa.
 
Ni lazima nitajiunga. Huu usanii sasa umezidi kiwango, Hadi kufikia mahali pa kuiona dunia nzima ni wajinga na wasioweza kujua ukweli?! Nimeshangaa mpaka sina maelezo ya kutosheleza kuonyesha mshangao wangu. Tusubiri kesho au keshokutwa watakapouambia ulimwengu kwamba Dodoma ipo Katikati kabisa ya Kenya. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni.
Sasa hatuna budi kuamka na kuanza kuwakemea huko huko kwao na mitandaoni..., ni ujinga na upumbavu kukaa kimya kwa ulimwengu wa kileo,
 
tumezidi kusinzia,sisi miaka yote ni siasa za maji taka tuu hatuangalii ya muhim,
 
Hata enzi za Bush alivyotua Tz... walisema uwanja wa JKIA... tafakari...
 
Kuna mdada mmoja mkenya tuko nae hapa. Nitamuingiza kingi jumatatu nimuhoji vizuri aniambie haya mambo huwa wanaaminishwa mashuleni au wapi? Nitamsikilizisha hii video. Then nitamuonyesha ushahidi wa Kenya kujitangaza inamiliki mlima Kili. Then nisikie maoni yake. Muda wote nitakuwa namrekodi then nitawaletea mrejesho hapa jf kwenye uzi huuhuu nitatupia audio ya mahojiano yangu nae.
Mbane kabisa
 
10626482_10153272386452047_3604592631181984313_n.jpg
 
Back
Top Bottom