VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

Mimi nadhani sifa kubwa tunayotakiwa kuwatambua nayo wakenya ni uongo. Ndio mana kumbe hawa jamaa ukiwa nao ulaya halafu mko katika group flan mnapiga story za kuhusu mataifa yenu kama mkenya yupo akaona Kuna mtanzania hapo anakwepa. Kumbe huwa wanaogopa kushushuliwa maana atajiuliza ataanzaje kuwaambia wazungu kuwa mount kilimanjaro is in Kenya wakati Kuna mtanzania hapo. Hawa watu ni waongo sana. Kuna siku nilikua ujerumani kwenye mgahawa mmoja ghafla tukaona kipeperushi cha kuvutia utalii Kenya kimeandika Mt kilimanjaro iko Kenya
 
Kwa kweli Kenya ni jipu. Wamejitangaza kupitia mlima Kilimanjaro..wamestukiwa....sasa wamerukia Olduvai Gorge.
 
Hivi hakukuwa na mtanzania ambaye angemshushua huyo binti mjinga anadanganya hapo UN? Hovyo kabisa
 

Samahani. Unafahamu hii speech huyu dada aliitolea wapi. I mean hapo ilikuwa wapi? Nimejaribu kulitafuta hilo jina la tabitha Gilbert aliyepost kwenye Facebook lkn nimekutana watu wengi kweli wenye jina hilo nikashindwa kujua who is who. Lengo langu ilikuwa ni kumpata huyu dada nimuhoji kwa nini anadanganya hadharani kiasi hiki bila uoga wala aibu. Pia nilitaka kujua hapo alipotoa hiyo hotuba palikua ni wapi na waandaaji kina nani ili niwaandikie email kuwataarifu kwamba huyo dada aliongea uongo kwa makusudi. Lakini nimeshindwa kuwapata.
 
Fact check: Tabitha Gilbert, you lied. No matter where I come from Iam not Kenyan. No matter which tribe you belong in Kenya you are Tanzanian through Olduvai Gorge. You can't deceive history.
 
Hawa watu wanatudharau sana, siku moja natoka zangu Mombasa kwenye ndege kulikuwa na wazungu wengi sana sasa walipouona mlima Kilimanjaro, wakaanza kuushangaa Mkenya mmoja akaropoka eti huo ni Mlima Kilimanjaro uko Kenya ikabidi nimtolee uvivu mbele ya wazungu. Nikatoa darasa jinsi ambavyo unaweza kupanda mlima Kilimanjaro na jinsi ambavyo huwezi kuupanda ukitokea Kenya, jamaa aliloa kama kamwagiwa maji ya Madame B!! Ila nilikuja kugundua baadaye kuwa nilikuwa nahatarisha maisha yangu jamaa wangeamua kunifanyizia huko huko kwao. Maana mzungu mmoja alipolipata vizuri darasa langu akanyanyuka kwenye ndege kuanza kuwapa shule wenzake ambao walikuwa mbali na mimi mhhh ilikuwa kazi siku hiyo!!
 
IPO Arusha au manyara Tanzania
Katavi, tembeleeni nchi yenu jamani! Yaani wewe na ujuaji wote ule hujui Oldupai gorge iko wapi? Ukiwa unatoka Ngorongoro ukielekea Meatu kabla hujafika Kakesio kuna njia inaambaa upande wa kulia kwako na kibao kipo kabisa cha kuonesha kuwa huko ndo kwenye masalia ya mtu wa kale. Kuna sehemu wanapaita Laetoli kuliko na nyayo zilizohifadhiwa za mtu wa kale!!! Nashangaa leo kusikia kwamba kumbe hilo eneo ni la Kenya na siyo Tanzania!!
 
Fact check: Tabitha Gilbert, you lied. No matter where I come from Iam not Kenyan. No matter which tribe you belong in Kenya you are Tanzanian through Olduvai Gorge. You can't deceive history.
Tabitha hajakosea!! Cheki hiyo picha
 

Attachments

  • 1456592696432.jpg
    1456592696432.jpg
    46 KB · Views: 67
Hawa wakenya wanatumia vitu vya Tanzania kujitangaza km vipo kenya!!

Kama nyie mmelala wenzenu wako macho wanatumia fursa zenu; hata Mt. Kilimanjaro uko Kenya!!! Endeleeni tu kuuza visiwa vyenu kwa makaburu!!
 
Haya mapumbavu haya siwapendi hata kidogo, mbaya zaidi wanakuja hapa Tanzania na kutafuta uraia kwa njia haramu shenzi kabisa
 
Waseme na mgogoro wa zanzibar upo kwAo basi, pia na Andrew chenge yuko kwao, wezi wa makontena wapo kwao, ccm ipo kwao, shirika bovu la tanesco liko kwao, wauwaji wa albino wapo kwao....

Kama wanaamua kuchukua mazuri ya tz wasisahau kuchukua na mengine ya upande wa pili...

These people are hopeless, mi nimeishi nao nawajua walivyo hamnazo kabisa...
 
Waseme na mgogoro wa zanzibar upo kwAo basi, pia na Andrew chenge yuko kwao, wezi wa makontena wapo kwao, ccm ipo kwao, shirika bovu la tanesco liko kwao, wauwaji wa albino wapo kwao....

Kama wanaamua kuchukua mazuri ya tz wasisahau kuchukua na mengine ya upande wa pili...

These people are hopeless, mi nimeishi nao nawajua walivyo hamnazo kabisa...
Miningependa waseme
Fisadi papa East Africa Lowassa yupo kwao
Hapo ningeona kama wametupunguzia Mkosi
 
Aaaah,


Hata wakisema magufulii ni rais wao, sioni shida.

LIWALO NA LIWE
 
Back
Top Bottom