VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

"Those people of East Africa shock me with their
wizardry in stealing. Sometimes I tend to believe
that stealing is in every Kenyan's blood….You can
even think that there is a subject in their universities
called Bachelor of Stealing" ROBERT MUGABE
 
Hiyo Mizungu NAYO bongolala kabisa,kwani hayajawahi kusoma historian? Au dada yao Dr.Mary Lecky hakuwaambia ukweli makes yspige makofi kwenye uongo mkubwa kiasihicho?
 
Pumbavu sana huyu binti, huu mkutano inaonekanani kama UN, ina maana hakuwepo mtanzania humo ndani?! in this situation wala hucheleweshi unamsimamisha na unamblast live bila zengwe. Wakenya mie hata nikiwaona hapa bongo huwa siwachekei kabisa! pumbavu sana!
 
Haya mapumbavu haya siwapendi hata kidogo, mbaya zaidi wanakuja hapa Tanzania na kutafuta uraia kwa njia haramu shenzi kabisa
Kweli kabisa Mkuu, wengine wanakimbiliakuoa dada zetu na kujifanya na wenyewe ni watanzania, na kuna baadhi yaya zetu kwa utamu au ulimbukeni unakuta wanaingia kingi na kusema ni watanzania hawa, namjua dada mmoja ameowana na mkenya wotee ni madaktari, huu dada namjua kabla hajaolewa na wala kukutana na huyu mkenya , ni baada ya kumoahuyu dada ni mwajiriwa wa wizara ya mambo ya ndani kama daktari, baadaya miaka kadhaa 3 ivi kupita nikakutana nae kwenye vikao vya kazi, eti anadai yule mkenya ni mtanzania, pumbavu Sanaa, nasema ni ulimbukenii na ushenzii kuwafurahia hawa wazandiki wa uongo!PUMBAVU sana
 
Hivi hakuna sheria ya kumshitaki huyu dada na case yake ikapewa airtime katika vyombo vya habri vya kimataifa???. Maan hapa naona watz tunabaki tu kumulilia Mungu paspo na sababu yoyote ile. Hawa jamaa sio wa kucheka nao wamejitangaza kwa vingi vilivyo vyetu na hakuna hatua yoyote ile iliyochukuliwa.
Mi nafikiri wana JF tunaweza kujitoa kumuanzishia kesi huyu dada, niswala la kuuwa mwanahrakati unaamua kudeal nae, mpaka aone alichokisema yeye na wengine hatorudia tena na haowalimu wao huko Kenya wanaowafundisha ujinga waache, shenziii! ni sawa na vilivile hii inatokana na mijitu mingine kwenda kwene mkutano na kukaa kimyaa, I swear to God, ningekuwa kwenye huu mkutano ungevunjika tuu!nsingekubaliana na uongo kama huo nikiwa mTZ!
 
Oldupai/Olduvai Gorge ina julikana sana ila kwa nyie ambao hamkusoma human evolution mtamsifia huyo mpuuzi Rosemary Odinga kwamba ameitangaza. Olduvai imeshajitangaza yenyewe. Hakuna cha kumsifia dada huyo ila tu ni kumhurumia kwa ujinga wake
Even kuna mmea unaitwa oldupai, ambao wamasai wanutumia kama dawa, unfanana na mmea wa magimbi, ukiwa unaelekea ngorongoro na Serengeti upo barabarani tuu, ni vizuri kujua historia zetu kwakweli, na tuzi document, tatizo hatuzungumzi vizuri na wazee, wetu hasa vijana wa sasa, kuna vitu vingi vya kuandika kwenye maeneo ya nyanjambalimbali kwenye hii nchi, ambayo ya umuhimu na faida kubwa,kiuchumi.
 
Naungana na wadau kumlaani huyu mtoto wa Raila kwa kuwa "nyang'au" na kudanganya mkutano mkubwa kama ule!
Kamvunjia sana heshima baba yake; Raila ana heshima kubwa sana, mtt angejua hilo kabla ya kufanya unyang'au kama huo.
 
Wanajipanga na mpya. SASA WANAKUJA NA MTWARA GESI IPO KENYA..
 
mi ningependa kwa umoja wetu tukawaanzishie vurugu kule kwenye jukwaa lao manake naona kama hawaelewi kama mpo tayari twendeni jamani
 
Labda nyumbu ni wewe ndugu. Elewa kwamba elimu ya Kenya ni majanga kama zilivyo za nchi nyingine, si waelewa kwenye jografia na historia. Kama unafuatilia vipindi vya taasisi ya Uwezo ya Kenya (ni kama Twaweza ya Hapa Tanzania) elimu yao bado ina mapungufu sana. Huenda alifundishwa hivyo shuleni kwake
apo unasema urongo kaka
 
Pale Ngorongoro kuna sehemu inaitwa shifting sands, ambapo mchanga unahama. Inawezekana kama madai yao Olduvai George imehama. Mimi nilitembelea Oldupai George ndio jina halisi ipo Tanzania kabisa ndani ya mipaka. Naweka picha za Oldupai George na vitu vya kutegemea kuona pale.
DSC00321.JPG
DSC00312.JPG
 

Attachments

  • DSC00305.JPG
    DSC00305.JPG
    133.9 KB · Views: 53
  • DSC00306.JPG
    DSC00306.JPG
    179.2 KB · Views: 52
  • DSC00307.JPG
    DSC00307.JPG
    137.8 KB · Views: 50
  • DSC00309.JPG
    DSC00309.JPG
    110 KB · Views: 54
  • DSC00310.JPG
    DSC00310.JPG
    116 KB · Views: 55
  • DSC00313.JPG
    DSC00313.JPG
    142.2 KB · Views: 50
  • DSC00314.JPG
    DSC00314.JPG
    131.1 KB · Views: 56
  • DSC00315.JPG
    DSC00315.JPG
    144.1 KB · Views: 58
  • DSC00316.JPG
    DSC00316.JPG
    181.8 KB · Views: 53
  • DSC00317.JPG
    DSC00317.JPG
    181.8 KB · Views: 50
Wakenya wanajitangaza sana kiasi ambacho uongo unaonekana ni ukweli. Sisi Watanzania tumelala na kulalamika tu. Tulipokuwa tanasafiri nje tulikuwa tunaenda shopping. Unakuta Waziri haendi kufanya kile kitu kilichompeleka nje. Yeye na shopping tu na kulala hoteli kufanya nani hii..... Hivi sasa JPM kafunga safari za nje kabisa. Hatutakuwa na sauti ya aina yeyote nje ya nchi. Kazi ya kutangaza nchi ni ya Serikali si ya private sector. Kasi hii ya kutokwenda nje ikiendelea kwa mwaka mmoja tu ni kweli Wakenya watasema Tanzania ni wilaya ya Kenya na watu wengi duniani watalewa hivyo kwa vile hakuna wa kupinga usemi huo.
 
Back
Top Bottom