Kuna mdada mmoja mkenya tuko nae hapa. Nitamuingiza kingi jumatatu nimuhoji vizuri aniambie haya mambo huwa wanaaminishwa mashuleni au wapi? Nitamsikilizisha hii video. Then nitamuonyesha ushahidi wa Kenya kujitangaza inamiliki mlima Kili. Then nisikie maoni yake. Muda wote nitakuwa namrekodi then nitawaletea mrejesho hapa jf kwenye uzi huuhuu nitatupia audio ya mahojiano yangu nae.