WeedLiquorz JF-Expert Member May 30, 2022 3,686 6,241 Feb 12, 2024 #21 Marioo tusimchukulie poa hata Nakaya aliwah lalamika anamimba sijui mtoto wa Marioo alimuahidi kumuoa ila kamtelekeza, Huyu mwana na wahenga wenzio siyo watu wazuri kabisaš¤£
Marioo tusimchukulie poa hata Nakaya aliwah lalamika anamimba sijui mtoto wa Marioo alimuahidi kumuoa ila kamtelekeza, Huyu mwana na wahenga wenzio siyo watu wazuri kabisaš¤£