Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

Niliandika hapa kuwa Lisu hafai kuongoza jambo lolote isipokuwa uwanaharakati tu.

Hana busara za uongozi kabisa.

Alishaharibu kabisa TLS ila watu walikuwa wanamsifia.
Hakika,hekima ya uongozi hana,ispokuwa ana crame capability kubwa sana,ni jamii ya watu wanaopaswa kuwa wachungaji
 
Yanastahili, yeye ndiye alisababisha vurugu za 29/10
 
Yanastahili, yeye ndiye alisababisha vurugu za 29/10

..lissu, heche, na viongozi wengi wa cdm walikuwa kifunguni Oct 29 wakati mauaji yakiendelea.

..mama ndiye aliyesababisha vurugu na mauaji Oct 29.

..waliofanya vurugu walikuwa wanamlalamikia na kumshutumu mama.

..waliouwa watu kinyama waliwezeshwa kwa silaha, na kutumwa na mama.
 
Bila yeye kuchochea wale wahuni wangeingia road kuchoma mali za watu na miundombinu??

Kumbe walipokawa wanachochea walitarajia nini??

Nakuambia lazima ale kitanzi
Kumbe Lissu alitoka jela akaja kufanya uhalifu?!!!
 
Kumbe Lissu alitoka jela akaja kufanya uhalifu?!!!
Aliongea anachokijua, alishajiandaa na wafuasi wake, acha kupenda na kutetea ujinga, unamuona mtu anakunya halafu wewe unakataa hanyi, wewe AKILI yako mavi km ya mwehu mwenzio Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…