Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,098
- 32,919
Kumejaa bavicha ambao wanazagaa zagaa humu usiku na mchana na lugha zao za kihuni.Hivi kweli kuna gt humu jamvini au kumejaa wanaitikadi wa ccm na wachochezi? ...

Kama umemsikiliza Lowassa kwa makini , hotuba yake yote, au salamu zake kwa waislamu wala usingelipata tabu kumuelewa."....msiwe baridi........."-E.L.
sikiliza kuanzia 1.44 na shirikisha kidogo akili utamuelewa!
Anawashwa huyo.Kwa hiyo unataka tukusaidie nini?
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Na huyo JPM wako pia ni zao LA CCM ndio tunendelea kuona ujinga uliopitiza mipaka, na nchi hii itaingia vitani soon, wacha tuone na ccm iendeleze dhulma dhidi ya waislam, ikiwa muislam haishi kwa amani na wao ccm hawataishi kwa amani katu.Binafsi sikutegemea mtu aliyefunzwa siasa na CCM ile ya Mwalimu asimame hadharani kuongea maneno yale ...hii ni ya kukemewa na kila mtu bila unafiki ....Lowasa angeacha akina Mwita waseme hayo ....si yeye ....kama Lowasa anaweza kuongea hayo inabidi tuwahoji CCM wamepanda nini kichwani mwa watawala wetu ambacho kina faida kwa Taifa ....tulifikiri CCM imezaa mafisadi tu ....kumbe ni zaidi ya mafisadi ....JPM anayo kazi kubwa sana kama kweli dhamira yake ni ya dhati ....
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Kumbuka ameanza na kuwalaumu kwa kuzidi kuwa baridi tofauti na zamani halafu anawataka waongee lugha ambayo serikali wataielewa. Mtamtetea Lowasa kwa hili, lakini ukweli amevuka mipaka.Ya kujilipua ni mawazo yako. Lugha inaweza kuwa ya kwenda UN, AU kutoa malalamiko. Mahakamani kudai wafikishwa mahakamani/ kesi ifutwe etc! Kwa nini mnakimbilia kwenye upuuzi wa kujilipua. Unadhani Lowasa anaweza kuwa na mawazo ya kujilipua?
Akibinywa wewe na familia yako mtafaidi nn?Ngoja huyo Lowasa wako abinywe kwanza ndio utaelewa.
Kwa hisia zako za UCCM, na chuki dhidi ya upinzani, lakini any person directing his mind correctly to the law, common sense and critical analysis can not jump to that unfounded conclusion!Kumbuka ameanza na kuwalaumu kwa kuzidi kuwa baridi tofauti na zamani halafu anawataka waongee lugha ambayo serikali wataielewa. Mtamtetea Lowasa kwa hili, lakini ukweli amevuka mipaka.
Lowassa kasema kila mtu atafsiri vile anavyoweza kutafsiri. Kwa lugha nyepesi ametoa kauli tata. Kiongozi mkubwa kama yeye anapotoa kauli tata maanake mara zote huwa zinalenga uvunjifu wa Amani
Acha uzuzu wewe! ingekuwa lugha laini hivyo kwa nini asingeisema kama ulivyoisema wewe?Ya kujilipua ni mawazo yako. Lugha inaweza kuwa ya kwenda UN, AU kutoa malalamiko. Mahakamani kudai wafikishwa mahakamani/ kesi ifutwe etc! Kwa nini mnakimbilia kwenye upuuzi wa kujilipua. Unadhani Lowasa anaweza kuwa na mawazo ya kujilipua?
Sitalki matusi zuzu mama yako na baba yako , stupid!Acha uzuzu wewe! ingekuwa lugha laini hivyo kwa nini asingeisema kama ulivyoisema wewe?
Mnajitoa ufahamu wakati ZEZETA lenu limesema kabisa "...mbona mmekuwa LEGELEGE?"
Ahojiwe vizuri. Mbona hakugawa mabilioni pale kama ambavyo huwa anafanya uchaguzi ukikaribia? au kapeleka ufadhili wake KIBITI?
Naona huelewi hata unachokiandika. ZEZETA limewabadilisha haswa! Unasema hutaki wakati unataka. Hebu jisome tena uone unavojicontradict.Sitalki matusi zuzu mama yako na baba yako , stupid!
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Mkuu hao vijana wa lumumba wana akili sawa na za nyoka tuAkibinywa wewe na familia yako mtafaidi nn?
Huwezi kuona kitu ambacho huna upeo nacho.Mimi sioni kasoro yoyote katika kauli yake, bado ukweli upo pale pale mashehe waachiwe, haki za binadamu zinakiukwa
I am telling you, you are stupid, nincompoop! Rubbish!Naona huelewi hata unachokiandika. ZEZETA limewabadilisha haswa! Unasema hutaki wakati unataka. Hebu jisome tena uone unavojicontradict.