Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

I am telling you, you are stupid, nincompoop! Rubbish!
You are just proving UZUZU tu! Hilo ZEZETA litaendelea kukinajisi chama mpaka mkome.
And there is a very good combination ya kupoteza image ya chama. Huku mna ZEZETA FISADI, halafu kule mna MROPOKAJI na mtetea MAFISADI Tundu.
 
nikiona kodi zetu zinavyoharibiwa aisee, hawa watu hawana huruma na sisi daah
 
Hata wakijilipua Mbele ya huyo namba moja wenu sioni tatizo na itakuwa vyema sana
 
You are just proving UZUZU tu! Hilo ZEZETA litaendelea kukinajisi chama mpaka mkome.
And there is a very good combination ya kupoteza image ya chama. Huku mna ZEZETA FISADI, halafu kule mna MROPOKAJI na mtetea MAFISADI Tundu.
Nakwambia zezeta ni mama yako aliyezaa takataka kama wewe
 
"...mbona mmekuwa LEGELEGE?"
Ahojiwe vizuri.

Bora angesema mko legelege, kasema mmelegea!

Yani wamewaitia futari halafu anawaambia wamelegea! Kawaona anaweza kuwaambia lolote.

Yeye leo baada ya kutoka polisi akaitisha presser nyumbani kwake Masaki, Katibu wa CHADEMA aliposema vyombo vya serikali ni dhaifu kwa kuchunguza kitu miaka minne Lowassa akamuwahi afute kauli hiyo. Ni tusi kuiambia serikali dhaifu lakini Waislam kawaambia wamelegea!

Amewatumia Waislamu, amewachochea halafu kawatukana.

Mwinyi na Mkapa walihangaika sana ku deal na the rising tide of religious extremism of the day, Lowassa alikuwepo kwenye serikali zile. Leo unasema una wish siku zile zingerudi. Mbona hukupinga na kujiuzulu wakati serikali inatuma mbwa na askari kwenye misikiti na makachero wa Usalama wa Taifa kufuatilia mawaidha ya mashehe?
 
Mbona maneno ya kawada kabsa hayo ?
Tena kwenye hafla?
Sasa ikatokea mtu kadhamiria uchochezi wenyewe itakuwaje?
Tunatiana taharuki bila sababu za msingi kabisa

Kwanza ni kosa kuizungumzia kesi iliyoko mahakamani, pili kuwasemea watuhumiwa kuwa wanaonewa tena kwa waumini wenzao. Tatu kuwaambia waislamu kuwa wamekuwa baridi dhidi ya utendaji wa serikali. Huo ni uchochezi kwani ili wawe moto moto ni wafanyeje? Viongozi wawe waangalifu na kauli zao na wahamasishe watu ktk shughuli za maendeleo. EL amekosa mvuto na amekwenda kuiua chadema kwa vitendo na kauli zake.
 
Kulitokea nini wakati wa mwinyi ambacho ni kosa Ktk katiba yetu ya sasa?
Wakati Wa Mwinyi waislamu wali-fanya "riot" kubwa. Walichoma bucha za nguruwe wakidai za makafiri. Serikali ilipojaibu kuwadhibiti walianzisha maandamano yenye vurugu wakitumia silaha zilizokuwa zikihifandiwa misikitini na kwa Mara ya kwanza ffu walivamia misikiti na mbwa. Hill nalo likawa nongwa tylipoteza Polisi na Waumini kadhaa
 
Hili jizi kwanini lisitandikwe hata risasi ya koo.

- I wish i could be the president hata wa siku moja, ningelinyoosha hili JAMBAZI
 
Kama siyo kashfa ya ufisadi. Lowassa (Mamvi) ni mwenye hekima na busara kwenye hili tupo pamoja naye.
 
mbele ya shein uvccm mliweka mabango yakuwa bagua wazanzibar wenye asili ya kiarabu na kuwaita hizbu kuwa visiwani sio kwao waondoke,leo kuhamasisha watu kudai haki zao mnaita wachochezi
 
Unauliza Lugha ambayo Serikali inaielewa ni ipi? Sasa unatamkaje ni uchochezi ikiwa hata wewe mwenyewe hujui mantiki ya hoja! Yaani hupishani na hakimu anayetoa hukumu kisha anasikiliza kesi! Huu ni ujinga! Hufahamu katika misikiti yetu kuna maneno makali sana hutolewa kwa waumini? Kwa nini usifikirie kwamba pengine anataka waseme katika lugha nyepesi na zisizokuwa na chuki?

Hebu linganisha kauli za Lowasa na ile ya Mheshimiwa aliyomtaka spika kuwashughulikia wapinzani bungeni kisha yeye awashughulikie nje ya Bunge! Nani mchochezi kati yao? Tuacheni unafiki!
 
Nakwambia zezeta ni mama yako aliyezaa takataka kama wewe
Hasira za kushindwa kutuwekea ZEZETA ikulu hizo watanzania sio mazuzu kama wewe wakawastukia. Mnalo na litahakikisha mnazaa nalo.
 
Kwa ushahidi huu polisi walikuwa na haki ya kumhoji Mh Lowassa . Namshauri achague kauli zake. Zile busara zake alizotumia wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi azidumishe. Chachu kidogo huchachua donge zima.
 
Kauli za Lowasa ni Kali ziomyeshazo namna watanzania mioyo yao inavuja damu ndani kwa ndani lakini kauli za Pombe ni chuki idhihirishayo damu hiyo ipo siku itavujia nje,tunaviomba vyombo husika navyo vimueleze mkulu apunguze ukali wa maneno yake
 
Hili jizi kwanini lisitandikwe hata risasi ya koo.

- I wish i could be the president hata wa siku moja, ningelinyoosha hili JAMBAZI
Jambazi gani . . ?! Limeshakamatwa na polisi au TAKUKURU . . ?

Limeshapelekwa Mahakamani ili ukatoe ushahidi wa wizi alioufanya . . ?!
 
You are just proving UZUZU tu! Hilo ZEZETA litaendelea kukinajisi chama mpaka mkome.
And there is a very good combination ya kupoteza image ya chama. Huku mna ZEZETA FISADI, halafu kule mna MROPOKAJI na mtetea MAFISADI Tundu.
Unajua wewe ni kiazi kikuu . . ?!

Image ya CDM unataka iwe nzuri kwako wewe makalio ya ccm . . ?!
Tangu lini image nzuri ya upinzani ikawa furaha ya ccm . . ?!

Jali yako, rekebisha image ya CCM wee mburulaaaa . . !
 
Back
Top Bottom