Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Unajua wewe ni kiazi kikuu . . ?!

Image ya CDM unataka iwe nzuri kwako wewe makalio ya ccm . . ?!
Tangu lini image nzuri ya upinzani ikawa furaha ya ccm . . ?!

Jali yako, rekebisha image ya CCM wee mburulaaaa . . !
Una maana hilo ZEZETA ndo image ya CHADEMA we ZUZU?
 
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Inasikitisha kuona tumerudi kuwa na political prisoners ambao walishatoka magerezani toka zama za JKN miaka ya 80.

Lakini katika kutetea mashehe hao, Edward Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anam miss Shekhe Kassim Juma, anasema misikiti imekuwa baridi, Waislamu siku hizi wamelegea.

Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.

Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.

Mh Lowasa amewahi kuwa waziri mkuu kipindi cha nyuma, hayo maneno amatumwa au anasema hivyo ili aonekana kuwa amesema? wale watu wanatuhumiwa kwa ugaidi na kesi yao ni lazima ichunguzwe kwa weledi na umakini wa hali ya juu ili haki iweze kutendeka, maneno aliyoyaongea ni uchochezi mkubwa sana kati ya hao na serikali, naomba viongozi wa kisiasa watawale midomo yao pale wanapoongea na vyombo vya habari.
 
W

Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Inasikitisha kuona tumerudi kuwa na political prisoners ambao walishatoka magerezani toka zama za JKN miaka ya 80.

Lakini katika kutetea mashehe hao, Edward Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anam miss Shekhe Kassim Juma, anasema misikiti imekuwa baridi, Waislamu siku hizi wamelegea.

Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.

Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.

AKATI WA KIKWETE HAKUPIGA MAKELELE LEO MAGUFULI NDO ANAONA SIO HAKI,ENL NI JANGA
 
Kwameh, inasikitisha kuwa mtazamo wako ni kuwa lugha ya waislam ni kujilipua! Ni wapi ulipofundishwa kuwa waislam ni watu wa mauaji? Au uzi huu umeuweka bila kujua kuwa unaonesha mtazamo wako hasi kuhusu uislam ukidhani kuwa utamkandamiza Lowassa. Kama wewe uko serikalini naomba ondoa hisia mbaya kuhusu uislam, mtu akisema allah akbar wewe utamuona ni siasa kali, akifuga ndevu na kavaa kanzu kwako ni balaa! Lugha ya waislam si vurugu kama unavyodhani.
 
Hii nchi ukisema ukweli lazma uambiwe umechochea...mrisho mpoto chocheachochea
 
Huyu mzee uroho wake wa urahisi unampeleka pabaya, sasa naona wanamuwekea mpaka maneno mdomoni, hasa huyo bodguard wake wa kushoto aliyevaa kanzu na kofia nyeupe hana nia nzuri na amani ya nchi yetu. CADOMO timueni huyu mtu haraka laa sivyo atawapaka matope.
 
Kumejaa bavicha ambao wanazagaa zagaa humu usiku na mchana na lugha zao za kihuni.
Is this the way you used to measure things? You're the fooliest ever been still living na huenda ninyi wa mtaa ule ndio wenye ajenda ya kuuvuruga umoja na mshikamano wetu baada ya kuona hamkubaliki tena. I dare to say ninyi waganga njaa stop this disunity kwani sio utamaduni wa taifa letu! Learn to think positive.
 
Kuna mambo yanaleta ukakasi.

Mashehe wa Zanzibar walikamatwa wakati wa Rais Kikwete, Lowassa hakusema chochote, na kipindi hicho Tanzania haikuwa na tatizo la Kibiti. Watu zaidi ya 30 wameuwawa katika mazingira ya kutatanisha, halafu anaibuka Lowassa ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu anawakusanya Waislam nyumbani kwake na kuwaambia "WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA". Lowassa anakwenda mbele zaidi na kuwakumbusha namna 'watu walivyotumia dini kuleta machafuko wakati wa Rais Mwinyi.

Maswali ya kujiuliza,

1. Mbali na maagizo aliyotoa hadharani, Lowassa amekuwa anafanya nini nyuma ya pazia?
2. Lowassa anajua nini kuhusu Kibiti?
3. Lowassa ana maana gani anapoagiza waislam waongee 'lugha ambayo serikali inaielewa? Hiyo lugha ikoje?
4. Ni kwanini ametolea mfano wa mchafuko ya kidini wakati wa Mzee Mwinyi?
5. 'Shehe' ambaye amekuwa anafuatana na Lowassa kila mahali (hata leo alikuwa naye) ni kwa ajili ya maombi au ndiye msimamizi mkuu wa 'lugha' ambayo Lowassa anataka waislam waitumie.

Kuna tatizo kubwa.
Unajitahidi kuhamisha magoli kijana.
 
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Inasikitisha kuona tumerudi kuwa na political prisoners ambao walishatoka magerezani toka zama za JKN miaka ya 80.

Lakini katika kutetea mashehe hao, Edward Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anam miss Shekhe Kassim Juma, anasema misikiti imekuwa baridi, Waislamu siku hizi wamelegea.

Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.

Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.

Lugha itakayoeleweka ndio kujilipua?? Why assumptions?? Kwani hta wakisema labda wafanye maandamano ya amani kwani itakuwa sio lugha ya kueleweka?? Au lugha ya kueleweka kwako wwe ni mabomu tu ya ISIL

EMBU acheni ujinga mbona wakati asha bakari anasema zanzibar seif hapewi mpaka apindue nchi hamkuona ni uchochezi?? Nape aliposema goli la mkono haiwi uchochezi so funny
 
Una maana hilo ZEZETA ndo image ya CHADEMA we ZUZU?
Hii nchi bwana unamuita zezeta akiwa upinzani unasahau alipokuwa ugambani mlimpa uwaziri mkuu!!!!

Zezeta angeweza kuzoa kula milion 6 kwa mujibu wa NEC?? Wewe unaweza jilinganisha nini na lowasa?? Embu acha matusi dharau na kejeli kisa tofauti za msimamo wa kisiasa
 
Mleta mada usitushawishi kuwa uelewa wako Mkubwa au Mdogo ndiyo hitimisho. Huna sababu ya kujaribu kuhitimisha kwa mawazo yako bora au duni. Ni vema kuvuta Subira hadi kule atachoeleza kitakapopata tafsiri kamili.
Kwa alivyomwerevu mtoa post anajua hata sababu za yanayotokea Kibiti.
 
Alikosea. Na hii ni Mara pili nakumbuka kwenye uzinduzi as kampeni uchaguzi mkuu uliopita alisema akichaguliwa kuwa raid atawaachia wale mashehe waliofungwa.
Ni kweli kwa sababu hakuna sababu za watu hawa kuwekwa kizuizini muda mrefu hivi bila kufikishwa mahakamani. Hii si sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom