Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunalaani na kukemea uwepo wa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.

Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.

Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.

Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa kwa milipuko ya kidini sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.

Hiyo lugha ndiyo ipi haswaaa hadi unashadadia kiasi hicho ambayo waislam hawaijui?
 
Unataka kutwambia kuwa wewe ndiyo unajua makosa kuliko serikali na wataalam wake wa mambo ya kiusalama?naona unajisikia uchungu kwa serikali kumwachia leo
 
Ukiangalia kinachoendelea pwani pamoja na siasa za ubaguzi zilizopandikizwa na masheikh wa uamasho, kipindi hilki serikari inaitaji kujenga daraja na waislamu kuongeza ushirikiano.

Irresponsible kabisa alichosema, ebu awekwe ndani ata kwa wiki kwa kutaka kuvuruga upelelezi wa polisi.
Mkuu hivi ndo umeandika nini? Mbona kama umeandika ili usome mwenyewe tu.
 
Binafsi sikutegemea mtu aliyefunzwa siasa na CCM ile ya Mwalimu asimame hadharani kuongea maneno yale ...hii ni ya kukemewa na kila mtu bila unafiki ....Lowasa angeacha akina Mwita waseme hayo ....si yeye ....kama Lowasa anaweza kuongea hayo inabidi tuwahoji CCM wamepanda nini kichwani mwa watawala wetu ambacho kina faida kwa Taifa ....tulifikiri CCM imezaa mafisadi tu ....kumbe ni zaidi ya mafisadi ....JPM anayo kazi kubwa sana kama kweli dhamira yake ni ya dhati ....
 
Kwa hili aitwe tu ahojiwe, mambo ya ajabu huyu jamaa analeta udini, hajui hawa waislamu wanavyoweza kubadilika within seconds? Hajakamatwa, kaitwa kuulizwa maswali na kuachiwa, japo obviously its a waste of time.
 
Ya kujilipua ni mawazo yako. Lugha inaweza kuwa ya kwenda UN, AU kutoa malalamiko. Mahakamani kudai wafikishwa mahakamani/ kesi ifutwe etc! Kwa nini mnakimbilia kwenye upuuzi wa kujilipua. Unadhani Lowasa anaweza kuwa na mawazo ya kujilipua?
Umeonaeeeee?yaani hii nchi ina watu wa ajabu sana kwa kujidai wanajua kila jambo kumbe ndio wanafanya uchochezi
 
Kiongozi mkuu aina yake kwanini atoe lugha za mafumbo kwenye kadamnasi?
Unawaachia raia wenye mawazo tofautitofauti wakafanye homework ya kauli za kiasa? Hilo neno linatafsiri nyingi zaidi ya unavyofahamu wewe.
Hivyo usipende kubishana kwa kauli isiyo na fasiri na kuweka fasiri yako unayoona ni sahihi.
Mwache mtoa nada akafasiri hayo mafumbo yake kwenye mikono ya sheria.
Hata wasiomwelewa waweze kumuelewa.
Aliyeongea "hela zitatokea kila sehemu iliyo na tundu"alikuwa anaongea methali?
 
Binafsi sikutegemea mtu aliyefunzwa siasa na CCM ile ya Mwalimu asimame hadharani kuongea maneno yale ...hii ni ya kukemewa na kila mtu bila unafiki ....Lowasa angeacha akina Mwita waseme hayo ....si yeye ....kama Lowasa anaweza kuongea hayo inabidi tuwahoji CCM wamepanda nini kichwani mwa watawala wetu ambacho kina faida kwa Taifa ....tulifikiri CCM imezaa mafisadi tu ....kumbe ni zaidi ya mafisadi ....JPM anayo kazi kubwa sana kama kweli dhamira yake ni ya dhati ....
HOJA yako hasa ni ipi?
 
Kwanza ukamatwe wewe kwa kumjengea Lowassa maana ambayo hakumaanisha. Lugha ambayo serikali inaielewa ni nini? Unajua ENL alimaanisha vipi?

Je, kama alimaanisha waache kutumia Lugha za Kiarabu na badala yake Kutumia Kiswahili ama Kingereza kama ambavyo zimekuwa lugha rasmi za Kiserikali?
Safi sana mkuu
 
Mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania ...unawaambia Waislamu anzeni kuongea lugha ambayo serikali itawasikia? Eti Waislamu siku hizi mmelegea? ....hatari kweli! Tumefika kutamani haya? Watakaoumia ni akina nani? ....Aombe radhi kiungwana ....anakumbushia ile mititi enzi za Mwinyi na Mkapa? Hatari ....
 
Tulishasema chama mfu la chadom ni la kigaidi na lilikufa kwa sababu waligundua lina ugaidi ndani yake mkabisha, sasa one, laigwani wao, ntu yenye pesa iliyo nununua binaadamu kama vile nyanya pale soko kuu la kariakoo inasema watu wajitoe muhanga kwa kujilipua, hahaha, hapa huyu mamvi hachomoki. Naona pia ana ajenda ya siri ili kukwepesha ajenda ya ufisadi, anataka akikamatwa aseme alikuwa anawasemea waislamu hahaha, siasa za walioshindwa mbaya sana
 
Binafsi sikutegemea mtu aliyefunzwa siasa na CCM ile ya Mwalimu asimame hadharani kuongea maneno yale ...hii ni ya kukemewa na kila mtu bila unafiki ....Lowasa angeacha akina Mwita waseme hayo ....si yeye ....kama Lowasa anaweza kuongea hayo inabidi tuwahoji CCM wamepanda nini kichwani mwa watawala wetu ambacho kina faida kwa Taifa ....tulifikiri CCM imezaa mafisadi tu ....kumbe ni zaidi ya mafisadi ....JPM anayo kazi kubwa sana kama kweli dhamira yake ni ya dhati ....
Hivi kwa akili yako unadhani umeandika kitu gani?
 
Tulishasema chama mfu la chadom ni la kigaidi na lilikufa kwa sababu waligundua lina ugaidi ndani yake mkabisha, sasa one, laigwani wao, ntu yenye pesa iliyo nununua binaadamu kama vile nyanya pale soko kuu la kariakoo inasema watu wajitoe muhanga kwa kujilipua, hahaha, hapa huyu mamvi hachomoki. Naona pia ana ajenda ya siri ili kukwepesha ajenda ya ufisadi, anataka akikamatwa aseme alikuwa anawasemea waislamu hahaha, siasa za walioshindwa mbaya sana
Mkuu hii usihusishe na Chadema hadi pale Chadema watapoamua kulifanya hili ni la chama ....Chadema kilikuwepo kitambo toka enzi za vurugu zile misikitini na hakikuwahi kujihusisha ....ndio Chama pekee Mwalimu Nyerere alikitaja kama kitakuja kuwa mbadala kwa CCM .....kama wamebadili gia hadi kutetea haya kichama ndio tutajua directions hii mpya kwa Chadema ....
 
Tusipende kuwa watu wenye mawazo finyu yanayoenda upande moja wa kulaumu maneno aliyosema Lowasa yanaweza kutafsiriwa vibaya na yakaleta matatizo katika jamii lakini turudi kwenye hoja ya msingi je kama hao mashekhe anaowazungumza wapo na wanasota mahabusu muda wote huu bila kufikishwa mahakamani wakahukumiwa adhabu au kuachiwa huru hiyo ni halali? Sipendi kuwepo kwa vurugu lakini pia ikumbukwe kuwa haki ndiyo msingi wa amani ya kweli.
 
Back
Top Bottom