Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,595
- Thread starter
-
- #221
Jamani kwenye ufunguzi wa kampeni za chadema Dr Slaa alimtambulisha Joshiphine kuwa ni Mke wake hata TBC jana kwenye taarifa ya habari wameonyesha tena
Mazee,
Mimi sijaongelea kabisa watu wampigie kura nani katika thread hii. Ninauchimba ukweli tu ili wanaopiga kura, vyovyote vile, wapige kura wakijua wanampigia nani.
Kama unaona Slaa anatufaa sawa, lakini lazima tujue kama Slaa ni bazazi la kukaa na mke wa mtu, kisha tukisema "potelea mbali" tuwe tunampigia kura huku tunamjua.
Hizi habari za kumfanya Slaa kama mtawa wakati ananuka ubazazi ndiyo sizitaki.
Sasa kabla sijaandika chochote hapa, nitasubiria utoe maelezo ya tuhuma dhidi yako zilizotolewa hapa na FMES kuhusu ubazazi kwenye ndoa yako. Je ni za kweli?
Siwezi ku control speculations za watu, unaweza kusema "vote Slaa" watu fulani wakafikiri actually umesema "vote Kikwete" by some reverse psychology.Siyo lazima utamke waziwazi kuonekana uko upande upi. Maandiko yako yanaacha nafasi ya kutafsirika kwa kadiri mtu aonavyo. Kwa kuna ambao wataona wewe uko anti-CHADEMA/ Slaa na kuna ambao wataona wewe ni pro-CCM na kuna wengine kama ambao tunaona unasimamia kanuni zako bila kuangalia ni nani anahusika. Makundi yote haya yanaweza yakawa yako sawa ktk mitazamo yao au yanaweza yasiwe sawa. Mwisho wa siku ukweli unaujua mwenyewe.
Well and good. Mimi ni mpenzi na muumini wa uwazi na ukweli hususan kwenye utumishi wa umma. Ila vilevile naelewa mipaka ya huo uwazi.
Hiyo impression ya Slaa kufanywa mtawa sijui unaitoa wapi.
Kiranga,
Hujasema so far kuwa watu wampigie nani, lakini unasema kuwa wasimpigie Dr Slaa.
Sasa kabla sijaandika chochote hapa, nitasubiria utoe maelezo ya tuhuma dhidi yako zilizotolewa hapa na FMES kuhusu ubazazi kwenye ndoa yako. Je ni za kweli?
kweli ukishangaa ya musa utayaona ya firauni
Nadhani mwanakijiji na shairi lake anaupotosha, kwa hivyo niki kuzidia ujanja kwa wife wako usilalamike? Jamani tuheshimu ndoa za watu mambo ya siasa tuyaweke kando kwenye maswala ya ndoa...
Kumbe MM ni mtangazaji wa ****************** let me trace ya voice!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi nashangaa watu wanashabikia ubazazi, eti kwa sababu umefanywa na Slaa.
siwezi amini kila a/unachosema hivyo sitabali kushangaa shangaa tu!Ukiamini kila unachosoma utabaki kushangaa shangaa tu.
naona sasa na wewe unashangaa shangaa tuMimi nashangaa watu wanashabikia ubazazi, eti kwa sababu umefanywa na Slaa.
Mimi nashangaa watu wanashabikia ubazazi, eti kwa sababu umefanywa na Slaa.
OKOKOK,
CCM mafuska,
Na Dr. Slaa kuvunja ndoa za watu ni nini ?
Duh mkuu yamekukuta yapi tena...Mimi siamini katika ndoa, sijawahi kuoa, na sitakuja kuoa.
Kiranga,
Duh mkuu yamekukuta yapi tena...
Ok kumbe ndio maana hawezi kuwaelewa jamaa..
Kiranga,
Duh mkuu yamekukuta yapi tena...
Ok kumbe ndio maana hawezi kuwaelewa jamaa..