Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Sasa kwa Maelezo hayo ya RPC Muroto tunatakiwa tumuamini nani, kati yake na Spika Ndugai na wabunge wake wa CCM wanaosema kuwa Mbowe, alianguka kwenye ngazi kutokana na kulewa??

Kwa kuwa RPC Muroto anaeleza wazi kuwa Mbowe alivamiwa na watu wasiojulikana, waliomshambulia na kumuumiza.......

Wakati timu yake Ndugai inadai kuwa Mbowe alianguka kwenye ngazi kutokana na ulevi wa kupindukia.
Tumwamini chief investigator, bwana ndugai..
 
Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza.

Ila wewe kwà kujikomba tu kuwatetea hao kweli unabidii Mkuu!!! Video ya Tangu jana, sijui ilikupita wapi ukiwa umehupaza mshipa wa shingo kutetea CDM sahv ndio unaipata unakurupuka tu na kupost hapa tafkr ulkuwa unakunya kichakani Mkuu!! Mbaya zaidi kuna wenzio nao wanakuunga mkono tu!!!



Mwizi kamwe hatetewi Mkuu nakuonea huruma Sana unavyopoteza ATP zako!!!
 
🤣🤣🤣
Mateke mpaka mguu mmoja tu unavunjika.....
Weka clip yote aliyoongea acha kuchagua vipendele upendavyo.
sasa kama hutaki kumwelewa hapa hutamwelewa tena , kipande nilichokiacha kinasema maihusishe jambo hili na siasa , japo ccm imelipinga kwa kuweka siasa na kuliingiza bungeni na kuliundia muswada wa dharula
 
Watasema hiyo ni cookedVoice 😀😀
Baba ni hansad, kauli ya Mbunge inatunzwa for future reference.

Hata ukitaka kusoma alichochangia Tuntemeke Sanga Bunge la 1980 utakisoma tu!!
 
Tushukuru mabeberu kwa kuingilia kati swala hili maana ni wazi walishajiandaa kusema yao.

Kamanda Muroto kaona kuongea kwa sauti kutamka kitendo haitoshi maana kina Ndugai wangezusha yao, Kamanda kajiongeza kwa kupiga miguu chini kuonesha ishara ya kitendo cha kukanyangwa na sauti ya kishindo cha mguu wa Kamanda tumekisikia ktk video clip.
 
Ila wewe kwà kujikomba tu kuwatetea hao kweli unabidii Mkuu!!! Video ya Tangu jana, sijui ilikupita wapi ukiwa umehupaza mshipa wa shingo kutetea CDM sahv ndio unaipata unakurupuka tu na kupost hapa tafkr ulkuwa unakunya kichakani Mkuu!! Mbaya zaidi kuna wenzio nao wanakuunga mkono tu!!!



Mwizi kamwe hatetewi Mkuu nakuonea huruma Sana unavyopoteza ATP zako!!!
Nilikuwa naangalia mchovu ndugai na wapambe wake
 
Nilikuwa naangalia mchovu ndugai na wapambe wake
Ndungai he is a very low !! Hana uwezo wa kujenga hoja, jazba za mitaani..sijui walimukota wapi..

Tulia she is atleast fine...seems bado hajaharibiwa sana na CCM.
 
Back
Top Bottom