Bavicha wanatapatapaHayo ni maelezo ya awali ambayo aliyapata toka kwa Mbowe, sasa kuna lipi la ajabu hapo?
Kama amepata kwa mbowe mwenyewe hayo ya Ndugai kayapata wapi? Kwa lijualikali?Hayo ni maelezo ya awali ambayo aliyapata toka kwa Mbowe, sasa kuna lipi la ajabu hapo?
Mnatumia nguvu nyingi wakati Jambo liko wazi [emoji23][emoji1787][emoji2960]Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza
View attachment 1474348
Nkurunzinza angakuwa somo kwao jamaa kafyeka watu wake lkn nae kapitiwa kwisha habari yake so hawa wapuuzi wetu kule majengoni usiwe na wasi nao Mungu anahesabu uovu wapoKwa anavyoongea kwa kebehi watu wanapoumizwa Nahisi ndughai ataish milele
Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza
View attachment 1474348
Lijualikali na baba mkwe wake wameumbuka!! Aisee!!
Yaani waliopanga na kutekeleza wanavyojiyetea bungeni hadi unashangaa
Wasanii buana!!😂Anachonijengenezea Ndugai ni aibu kubwa kwa familia yake , juzi alikataliwa kwao na wananchi mbele ya ubongo wake
View attachment 1474365
Zile ni kauli za mashetwain.....kauli ya kamanda inasimama kama hawakumtonya mapema it's not our problem.Lipi lakweli mateke au FaruJoni?
Yeye aliwaona?Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza
View attachment 1474348
Zile ni kauli za mashetwain.....kauli ya kamanda inasimama kama hawakumtonya mapema it's not our problem.Lipi lakweli mateke au FaruJoni?
Faru John sio chai ya maziwa.Kama amepata kwa mbowe mwenyewe hayo ya Ndugai kayapata wapi? Kwa lijualikali?
Watasema hiyo ni cookedVoice 😀😀Zile ni kauli za mashetwain.....kauli ya kamanda inasimama kama hawakumtonya mapema it's not our problem.
Wacha waumbuke..hawana ubinadamu kabisa!!
Usishangae kesho kumsikia Murroto akidai alinukuliwa vibayaSasa kwa Maelezo hayo ya RPC Muroto tunatakiwa tumuamini nani, kati yake na Spika Ndugai na wabunge wake wa CCM wanaosema kuwa Mbowe, alianguka kwenye ngazi kutokana na kulewa??
Kwa kuwa RPC Muroto anaeleza wazi kuwa Mbowe alivamiwa na watu wasiojulikana, waliomshambulia na kumuumiza.......
Wakati timu yake Ndugai inadai kuwa Mbowe alianguka kwenye ngazi kutokana na ulevi wa kupindukia.
Dhahiri , kifo ni adhabu ndogo sanaNdugai sio wa kumuombea kifo,tumuombee maisha marefu yenye mateso makubwa