Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,553
- 23,902
Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
View attachment 3289809
Haswaaaa!Watekaji wa Tanzania wanapandishwa vyeo
Watekaji huku kwetu ni Mariah sarungi,lissu na Heche ...Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
View attachment 3289809
Walitekeleza amri kutoka juu. Hilo tu ni hatua nzuri......Polisi wa Kenya are now Independent.Asiishie kuivunja, bali aende mbele zaidi kwa kuwafikisha Mahakamani ili wakajibu mashitaka juu ya tuhuma zao.
HahahahWatekaji huku kwetu ni Mariah sarungi,lissu na Heche ...
Unajivua nguo kweupe kabisa bila aibuWatekaji huku kwetu ni Mariah sarungi,lissu na Heche ...
Katika hayo majina matatu lako ni lipi!Unajivua nguo kweupe kabisa bila aibu
Malizia ubwabwa tu shekhe ,watu wenye njaa Kali iliyopanda kichwani mna matatizo sanaKatika hayo majina matatu lako ni lipi!
Huku watuhumiwa ndiyo wanatulindaUkilinganisha na huku kwetu, ni kama serikali haina wajibu wa kulinda haki ya kuishi.
Wakenya elimu yao inawasaidia sn tofauti na mapumbavu ya huku ndiyo maana yanatakiwa kwenda VETA tena yakavae uniform na darasa la 4 au 6Walitekeleza amri kutoka juu. Hilo tu ni hatua nzuri......Polisi wa Kenya are now Independent.
Safi sana Mr.President..Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
View attachment 3289809