Mheshimiwa Rais kawajibu wale wote wanaoponda safari zake za nje... enyi watanzania mwenye masikio na asikie...
[video=youtube_share;KZ1FVYyGxio]http://youtu.be/KZ1FVYyGxio[/video]
Mheshimiwa Rais kawajibu wale wote wanaoponda safari zake za nje... enyi watanzania mwenye masikio na asikie...
[video=youtube_share;KZ1FVYyGxio]http://youtu.be/KZ1FVYyGxio[/video]
Jk yuko sahihi
Anafikiri kwa kutumia makario. Dr. Masaburi.Da eti sisi ni masikini nani atufuate.... Mataifa yaliyoendelea yanatafuta natural resources kwa hiyo lazima watawatembelea, lakini je hata usipotembelewa una shida gani? Aaangalie wenzake wamefanya safari ngapi na je wamewakilishwa na viongozi wengine safari ngapi. Hapa kweli tulichemsha sana watanzania
Tatizo siyo kwamba tanzania isisafiri nje, bali rais asifanye kazi ya waziri wa mambo ya nje. Safari hizo ni kazi ya waziri wa mambo ya nje. Safari zingine anakwenda kuhudhuria semina ambazo ni jukumu la maafisa wa serikali wala siyo mawaziri