VIDEO: Rais Kikwete awajibu wanaoponda safari za nje ya nchi

hii dhana ya kuomba omba ni ugonjwa mbaya sana , nchi kama Marekani au China kutajirika kwao hakukutokana na kutembea huku na huku wakiomba , au wakitegemea kusaidiwa , kwanza ni a kwa nchi kama Tanzania nchi tajiri kiasi hiki , cha msingi ni sisi kuweka mikakati yetu vizuri ya kimaendeleo na kujisimamia si kutegemea kupigia wazungu magoti
 
Tujiku
Mheshimiwa Rais kawajibu wale wote wanaoponda safari zake za nje... enyi watanzania mwenye masikio na asikie...


[video=youtube_share;KZ1FVYyGxio][/video]



Tujikumbushe hata Rais pombe Magufuli alisema kuna watu wame Safiri sana n'je kuliko walivyo enda kijijini kwao
 
Magufuli ajifunze uvumilivu kwa JK, watu walikuwa wanaropoka sana lakini hata hawajali, yeye mtu mmoja tu kumtukana basi mahakamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom