VIDEO: Rais Kikwete awajibu wanaoponda safari za nje ya nchi

Asante JK hata juzi tulikuona ukiwa na wafanyakazi wa Sunderland, piga safari baba uendelee kujaza photo album...
 
Hivi kuna kitu chochote kutoka kwa JK au CCM ambacho hakipo sahihi kwako?
Wameshawamaliza akili kila kitu kusifia tu kama mazuzu.

Unajua Katibu wenu yuko ujerumani anafanya nini? Safari ya mwezi and so........, unajua nafasi ya ukatibu mkuu? Sasa mtu kama huyu ndo hajawa rais, akiwa rais si atatelekeza taifa?
 
Unajua Katibu wenu yuko ujerumani anafanya nini? Safari ya mwezi and so........, unajua nafasi ya ukatibu mkuu? Sasa mtu kama huyu ndo hajawa rais, akiwa rais si atatelekeza taifa?[/sa kuwa na ma]

Katibu wa nani? Unajua mimi ni chama Gani?.
Mimi nazungumzia watu kama nyie mliokuwa kama mazuzu, kila kitu kusifu tu.
 
Mimi nafikiri angeandika/angesema kila safari aliyoifanya na kilichopatikana kwa safari husika... Hizi blah blah za kusema lazima twende, bila kutaja tumepata nini, ni mwendelezo wa siasa. Amejibu kama vile sisi tunataka asitembee kabisaaaa.... Si kweli, huko ni kupotosha hoja, suala ni idadi ya safari against manufaa ya safari..
 
kasema Asipoenda nje ya nchi, hawatakuja kumtembelea. Sisi ni maskini, lazima tutoke ili nao waje kuwekeza.
Mkumbushe kuwa KIZURI HUJIUZA NA KIBAYA HUJITEMBEZA.With the resources we have haitaji izo safari nyingi kiasi icho.MABEPARI WAKO BIZE KUSAKA RASILIMALI AFRICA HUITAJI KUWAFUATA WANAKUJA WENYEWE.
Na pia awatumie mawaziri wake effectively kama ikibidi wao waende nje na yeye aende ikibidi
 
...Mpelekeeni ujumbe kuwa yeye siku hizi tutaanza kumwita "Four Bs"....kuanzia leo mi tamwita hizi..maana haya maneno manne aliyobatizwa na Kagame yanamwelezea uhalisia wa JK kabisa....Mwambieni amsome Kagame hapa...aone kule Rwanda wasivotaka kumsikia.....na hivi hapa TZ anaongeza chuki ya Watanzania dhidi yake...soon JK atakosa pa kutokea....kama TZ itaendelea kutawaliwa hovyo hovyo namna hii tunayoona sasa...

...msomeeni hii..."Jakaya Kikwete is a Four Bs", Kagame tells his closest aides.......

"According to sources within the Rwandan Presidency, when General Paul Kagame returned from Addis-Abeba after Jakaya Kikwete's

comments, he was livid. He called an urgent brief intelligence services meeting and told the participants that Jakaya Kikwete is a

"Four Bs", which he said in Kinyarwanda meant "an opportunist, attention seeker , arrogant and contemptible person
." Contrary to

his habit, he dismissed the participants to meeting after 15 minutes and went directly to bed.

Before leaving for Japan, he once again held a meeting with his intelligence services and top military leaders and told them the

following: "Now, after the betrayal by the Tanzanian Four Bs, it is clear that, like orphaned kids, we are on our own. I am

traveling, and when I return I want you to present me with a plan on how we will get out of this severe situation.
" When he asked

whether anyone had anything to add, everyone looked down. He dismissed the meeting after a few minutes and headed to his

private jet, that he rents out to the Rwandan Government"

Source: Tanzanian Jakaya Kikwete and Rwandan Paul Kagame Meet in Japan
 
Nadhani anatafuta mahali pa kujihifadhi akistaafu, mwacheni tu coz wapo wenzake hawasafiri kazi yao ni kuiba kodi za walalahoi. Tusubiri tuone mwisho wake
 
Mmh......huyo wa China ziara moja tu kapewa Bandari....huyu wetu ziara 300 hata Ngarawa hakuna
0
 
Hatulalamiki kwanini anaenda nje, tunacholalamika safari zimezidi kama vile yeye ni waziri wa mambo ya nje. Na kitu kingine kinashangaza kwenda nje kuwaalika watu waje kutuibia natural resources zetu. Kama sisi hatuna uwezo bora tuziache ardhini mpaka tutakapo pata uwezo. Ndio maana mikataba inakuwa mibovu kwa sababu tunawabembeleza waje kuwekeza. Wawekezaji wa ndani ni wa muhimu kuliko wa nje, serikali ijaribu kuelimisha watu wake kuwekeza, kuliko kupoteza muda kuzunguka nje kutafuta wawekezaji. Elimu bora na uzalendo ndio imewafikisha wenzetu walipo huko mnakoenda kushangaa na si wala safari za kutembelea nchi zilizoendelea. Safari za mara kwa mara si uzalendo kwa nchi yetu hata kidogo.

Kwanini wenyewe hawaji kutuambia tukawekeze kwao

We utawekeza nini zaid ya Fitna na majungu! Jakaya chapa mwendo na ikibidi Ongeza Safari mpaka waote majibu ya kwenye Moyo, mijitu ina roho mbaya utadhani ilikuja Duniani kwa Makosa!
 
Hakuna safari iliyonikera na kunifedhehesha kama hii "aliyodandia" kwa Ngeleja......Rais wa nchi yangu kuvishwa name tag ilikuwa fedheha sana!....na hakukuwa na Rais mwingine hata wa Burundi hakuwepo!

ngeleja1.jpg

Dah huyu jamaa sidhani kama ni mzima.Anajialika hata kule ambako hajaalikwa yaani utadhani watoto wa uswahili wanaopenda kuvamia sherehe za majirani bila kualikwa.Tatizo uswahili umemzidi mno.
 
Hata haiingii akilini rais wa nchi anapokuwa kinara na mratibu wa mauaji ya raia wake!! Huyu bwana sijui ana laana ya namna gani!!!! Kikwete hizi hoja zako zinawafaa nini watanzania ambao hata hawamudu mlo mmoja kwa siku! Hayo maisha bora uliyowadanganya wananchi yako wapi? Shame on you!!!!!!!!

wewe mkuu huu wivu utakuuwa umekaa kumchukia rais na kumnunia wakati mzee anafanya kazi za taifa na kuwatumikia watu wake hizo chuki zenu za asili za kuchukia watu hata hazina nafasi.
 
Aisee!! Kweli hali ni mbaya, kumbe zile kelele zetu ni sawa tulikuwa tunampigia mbuzi gitaa.
 
kuna watu wakimuona jk wanatamani kupasuka lakini yeye hata hana habari nao na anaendelea kuchapa kazi watanzania wanaimani na wewe na wanathamini uwepo wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom