VIDEO: Rais Kikwete awajibu wanaoponda safari za nje ya nchi

mwacheni mungu aitwe mungu kunawatu wanautafuta urais mpaka kwa waganga wa kienyeji na sasa wamekwenda ujerumani kuongeza dawa kwa lengo la kutafuta urais mwabieni hataupata jk kupitia ziara zake kafanya makubwa na bado anaendelea kutenda.
 
kuna watu wakimuona jk wanatamani kupasuka lakini yeye hata hana habari nao na anaendelea kuchapa kazi watanzania wanaimani na wewe na wanathamini uwepo wako.

Mimi ni mtanzania na sina imani nae. Hao watanzania gani unaowasemea wewe?
 
hivi anajua ameshasafiri mara ngapi toka awe rais na amekaa nje siku ngapi?
 
"Sisi ni maskini, hivi nani atakufuata"....hapo nyuma Rais wa China alikuja, na Obama anakuja=??????? kwa hiyo Tanzania ni tajiri au maskini sijaelewa maana naona maskini hafuatwi lakini Obama na wengine wanamfuata maskini??????
 
Tumshauri kabla hajatoka madarakani awaombe NASA wampeleke sayari ya Mars kuona kama kuna faa uwekezaji na itakuwa fahari kwa Tanzania kuwa na rais wa kwanza kwenda huko.
Haaa mkuu huyu jamaa ataomba kweli eti...umempa bonge ya idea ya new adventure
 
Nyerere alikuwa na muono mkali sana, maana namna mheshimiwa anavyotetea safari zake na jinsi akili yote ilivyojikita kwenye aid, huruma. Anakwambia kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kuonana na waziri mkuu wa Japan-it add any value?
 
mkuu kwako wewe kipi kibaya kwako kwa slaa na mbowe.

Umenisikia naongelea Slaa au Mbowe? . Una kiwewe na watu hao?. Kumbe wewe upo hapa kwa sababu ya kupambana na hao?

Kifupi wewe ni kama Mateka wa Fikra. Kizazi hiki hakitapita kabla ya nyie kuumbuka.
 
Mmh......huyo wa China ziara moja tu kapewa Bandari....huyu wetu ziara 300 hata Ngarawa hakuna

Te te te te te eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee uuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwikwi kwi kwi kwi unanivunja mbavu zangu, teeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee te te te te te eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee teteteteteteteteteteteteeeeeeeeeeee
 
Hayo ni maneno yakubomoa kumwandikia maneno ya kifedhuli mkuu wa Nchi sio busara bali ni kupungukiwa na nidhamu tu.yaani mnamsonga Baba wawatu utafikiri nn...kuweni na busara JK kafanya mengi sana sema binadamu mwenye mapungufu hakoc sababu...Acheni maneno ya kishabiki yasio elimisha jamii...kila kiongozi hujaguliwa na mungu bwana.
 
Tumshauri kabla hajatoka madarakani awaombe NASA wampeleke sayari ya Mars kuona kama kuna faa uwekezaji na itakuwa fahari kwa Tanzania kuwa na rais wa kwanza kwenda huko.

Kwi kwi kwi kwi kwi te te te teeeeeeeeeeeeeeeeeeee kweli JF huwezi boreka
 
kunawatu wengine wanatembea mpaka ulaya hata uongozi mkubwa hawajaupata na hata ziala zao hazina manufaa yoyote kwa taifa letu lakini watu hawasemi kitu badala yake wamekaa kumfuatilia jk tu lakini ya kwao hawayaoni.
 
Binafis sikubaliani na sababu alizozitoa; nchi chache nilizobahatika kukaa, baadhi nimeshuhudia maendeleo makubwa sana na uwekezaji mkubwa pasipo viongozi wao kusafiri nje kiasi hiki. Lakini pia nimeshuhudia baadhi ya wawekezaji wanasubirishwa kwa miaka miwili kabla hawajaruhusiwa kuwekeza. Kizuri kitajiuza tu no matter what.
Pia kama mchangiaji mmoja alielalamika hapo juu, labda wizara ya mambo ya nje ingeunganishwa na uraisi kwenye awamu hii; maana duh, too much.
Lakini pia, hayo matunda ya safari yangeonyesha mabadiliko kwa wananchi wote; sio kwa wakubwa wachache.
 
Umenisikia naongelea Slaa au Mbowe? . Una kiwewe na watu hao?. Kumbe wewe upo hapa kwa sababu ya kupambana na hao?

Kifupi wewe ni kama Mateka wa Fikra. Kizazi hiki hakitapita kabla ya nyie kuumbuka.

huwezi kujilinganisha na mimi nipo huru sana kuanzia kwenye miguu hadi kichwani pole wewe unayetumwa kuja jf kusema ambacho wakuu wako wanataka useme.
 
haya ndio wanayoyafuata Ng'ambo
bembea.jpg
 
look at him seriuosly, he does not even believe in what he says

Mheshimiwa Rais kawajibu wale wote wanaoponda safari zake za nje... enyi watanzania mwenye masikio na asikie...


[video=youtube_share;KZ1FVYyGxio]http://youtu.be/KZ1FVYyGxio[/video]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom