Video: Pongezi kubwa kwa hawa Askari waliomuokoa kijana aliyetaka kujirusha kutoka juu ya mnara

Nawashauri na wengine kama unaona kupambana kwako kumefika mwisho na hauna technique nyingine ya kutoboa

Nenda sehemu ya Public kwenye Juu ya majengo makubwa Kanisani, msikitini, majengo ya hotel, halafu jaribu kitu kama hiki

I swear u will have public attention and your problem to be solved
 
Unashauri ukuda
 
Fanya kazi mzee huruma huruma unayoitaka ni ya kujifedhehesha tu
 
Nawashauri na wengine kama unaona kupambana kwako kumefika mwisho na hauna technique nyingine ya kutoboa

Nenda sehemu ya Public kwenye Juu ya majengo makubwa Kanisani, msikitini, majengo ya hotel, halafu jaribu kitu kama hiki

I swear u will have public attention and your problem to be solved
Wewe huna matatizo yeyote? Kwanini wewe usianze kupanda kwenye hayo majengo?
 
Mh Tanzania tumefikia hatua hii naona Sasa kujitoa muhanga Kama all-shabab kutaanza soon!!
 
Wewe huna matatizo yeyote? Kwanini wewe usianze kupanda kwenye hayo majengo?
Bado kidogo nifike level hiyo
Kuwa na subira mkuu

Ushawahi kujiuliza kwanini kuna watu wanafikia hatua ya kujiua kwasababu ya Depression?

Kwenye jamii jifunze kuangalia maisha ya watu wengine na sio maisha yako tu
 
Usalama wa Rais wanalala? Anafikaje huko kizembe hivyo. Wanausalama wa Tanzania wana mbwembwe, unaweza dhani wako very serious na majukumu yao.
 
Ndio nasubiri wewe uonyeshe mfano kwa ulichokishauri.
 
Pia kuna kitu Kinaitwa PTSD, this is more harmful na kwasasa watanzania wengi wanapitia hii kitu

Post traumatic stress disorder
 
Post-traumatic stress disorder (PTSD)is a mental and behavioral disorder that can develop because of exposure to a traumatic event, such as sexual assault, warfare, traffic collisions, child abuse, domestic violence or other threats on a person's life.

Symptoms may include disturbing thoughts, feelings, or dreams related to the events, mental or physical distress to trauma-related cues, attempts to avoid trauma-related cues, alterations in the way a person thinks and feels, and an increase in the fight-or-flight response.

These symptoms last for more than a month after the event. Young children are less likely to show distress, but instead may express their memories through play.A person with PTSD is at a higher risk of suicide and intentional self-harm.
 
Problem Attention

Namna ya kutaka kusikilizwa shida zako ikiwa umetumia kila njia ila mamlaka haitaki kukusikiliza

Hii ni mbinu ya mwisho ya kivita na ukikosea hata kidogo basi utaliwa kichwa
Asante sana mkuu kwa kutupatia hizo MM
 
Usalama wa Rais wanalala? Anafikaje huko kizembe hivyo. Wanausalama wa Tanzania wana mbwembwe, unaweza dhani wako very serious na majukumu yao.
Usipanic mkuu hyo ni scene ya kimamlaka mbele ya hadhira mazezeta,ndo mana wanasiasa ngumu sana kwenda mbinguni
 
Usijibu haya maswali kwa reactionary namna hii

Humjui muhusika,hujui kinachomkabili...unless ungekua unajua

Ila kama his reactions ni connected na rais,kuna mahali kuna shida,na solution sio kujibu kwa kebehi namna hii kwa muhusika

Kuna shida mahali,ni jukumu letu kujua

Pia wenye madaraka wajiangalie,kuna tatizo la our administrative dispensation kwenye hii nchi mahali

Huyu ni tukio la 3 mwaka huu....mpaka mtu kutaka kujitoa uhai si kitu kidogo,awe na akili timamu au asiwe nazo.....Hakuna mtu asie na akili timamu anataka "kujiua",kujiua ni no gone zone kwa wenye akili na wasio na akili put together

Usije singizia eti hana akili..hiyo si sababu kabisa
Ok tunaomba wewe mwenye uelewa wa nini kimemkumba huyo ndugu yetu utufahamishe.
 
Back
Top Bottom