Video: Pongezi kubwa kwa hawa Askari waliomuokoa kijana aliyetaka kujirusha kutoka juu ya mnara

Mimi sio daktari mzee..na siwezi pima watu online

Wacha progressive reports zitoke kwenye news,tujue alikua na matatizo gani hasa

Ila tatizo media zetu ni za serikali,hivyo hakuna cha maana kitapatikana hapo

We are all doomed

"KATIBA MPYA"
Huu ni muendelezo wa picha la kihindi likichezwa na Mithun Chakrabot
 
Back
Top Bottom