Video: Pongezi kubwa kwa hawa Askari waliomuokoa kijana aliyetaka kujirusha kutoka juu ya mnara

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Angalia hii video halafu tia neno la pongezi kwa hawa Askari.

Tuna lakujifinza, watu wamechanganyikiwa na utafiti upo wazi kwa kila watanzania 4, ...... basi watatu vichaa isipokuw mmoja

Yaani 3/4 ni vichaa na 1/4 salama

Yaani robotatu vichaa na robomoja ndio salama
 
Pamoja na kurisk maisha yao lakini kitendo walichofanya ni cha kijinga na kinazidi kutuacha uchu kama primitive society....

Mhusika hakuwa na nia ya kujiua bali alikuwa anatania, kitendo cha hao askari kumpandia juu na yeye alikuwa na nia ya kufa si angekuwa tayari ameshajiachia?

Askari walipata wapi ujasiri wa kumpandia mtu anayehitaji kujiua na ambaye ukionyesha tu nia ya kumfuata basi atajiachia?

Tayari mhusika amekubali kushuka kwa nini uanze kumcharaza mikanda huko juu, na kwanini umpige wakati sheria zipo?

Askari wetu wanahitaji mafunzo ya hali ya juu pamoja na motisha ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi pasipo kuleta madhara....uwezo wao wengi wao uko chini ya mahitaji kwenye jamii..
 
Mhusika amekubali kushuka ndio maana hakujirusha hata baada ya kuona askari wanamfuata....kwanini hao askari wasitumie crane zenye bucket ( hilo eneo halina jeshi la zimamoto?).... hakuna helicopter zenye vikapu mpaka jamaa wapande mita zote bila protection yeyote..?..

Unaweza kwenda kuokoa maisha ya aliyechagua kufa halafi wakafa wengine wanaopenda kuishi...TUWE MAKINI, SAFETY FIRST..
 
pamoja na kurisk maisha yao lakini kitendo walichofanya ni cha kijinga na kinazidi kutuacha uchu kama primitive society...
Yani na ushujaa wote huo bado unawalaumu halafu sikiliza hizo sauti Yani alitaka kujiuwa mbele ya rais.
 
Yani na ushujaa wote huo bado unawalaumu halafu sikiliza hizo sauti Yani alitaka kujiuwa mbele ya rais.

Ushujaa hauji kwa wewe kurisk maisha yako kuokoa mtu aliyechagua kufa...lazima na wewe mhusika ufanye risk calculation, sio vitani wala polini hapo kwenye simba...

Mhusika aliyepanda juu amechagua kufa, plan ya kwanza ni kumuokoa bila nyie kurisk maisha yenu... Mhusika amechagua kushuka ndio maana hata walivyipanda hakuruka, walipaswa kutafuta means nyingine chap...

Kitendo cha wao kupanda bila protection ilikuwa ni kuhatarisha maisha yao dhidi ya mtu ambaye amechagua kufa na hana madhara kwa wengine bali madhara ni dhidi yake mwenyewe..
 
Tuna lakujifinza, watu wamechanganyikiwa na utafiti upo wazi kwa kila watanzania 4, ...... basi watatu vichaa isipokuw mmoja

Yaani 3/4 ni vichaa na 1/4 salama

Yaani robotatu vichaa na robomoja ndio salama
Hizi takwimu zenu peleka kule... acheni kukaririshwa mambo ya ovyo

Yaani hapa nilipo achilia mbali washkaji wanne niliokaa nao hapa bali hata majirani zangu wote wapo fresh kabisa hakuna mental retarded kabisa halafu leo mtu aje from the blue eti robotatu sijui nini nini... alaa!
 
pamoja na kurisk maisha yao lakini kitendo walichofanya ni cha kijinga na kinazidi kutuacha uchu kama primitive society....

Mhusika hakuwa na nia ya kujiua bali alikuwa anatania, kitendo cha hao askari kumpandia juu na yeye alikuwa na nia ya kufa si angekuwa tayari ameshajiachia?... askari walipata wapi ujasiri wa kumpandia mtu anayehitaji kujiua na ambaye ukionyesha tu nia ya kumfuata basi atajiachia....? tayari mhusika amekubali kushuka kwa nini uanze kumcharaza mikanda huko juu, na kwanini umpige wakati sheria zipo?

Askari wetu wanahitaji mafunzo ya hali ya juu pamoja na motisha ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi pasipo kuleta madhara....uwezo wao wengi wao uko chini ya mahitaji kwenye jamii..
Ili ujiunge na Jeshi la Polisi, lazima uwe UMEFAIL kuanzia DIV 4 ya 28. Nadhani hadi hapo unaelewa kwa nini wanafanya hivyo!
 
Angalia hii video halafu Tia neno la pongezi kwa Hawa Askari.
Hao maaskari akili zao ndogo kabisa,yaani hawana taaluma ya uokoaji wa wa suicide misions.niulize why so?
mtu huyo alikuwa anania ya kujirusha mfano.kabla nyinyi hamjafika huko juu yeye angeachia mnara,sehemu ya uokoaji ilikuwa ni chini ya mnara huo.Hivyo ilitakiwa waweke mazingira hapo chini ya mnara kwamba akidondoka hatakufa.

so in short huyo jamaa hakuwa na nia ya kujiua alikuwa anatania tuuu na kupeleka ujumbe flan kwa wahusika
 
Hizi takwimu zenu peleka kule... acheni kukaririshwa mambo ya ovyo

Yaani hapa nilipo achilia mbali washkaji wanne niliokaa nao hapa bali hata majirani zangu wote wapo fresh kabisa hakuna mental retarded kabisa halafu leo mtu aje from the blue eti robotatu sijui nini nini... alaa!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Sababu nawewe pia kichaa huwezi kutathmini
 
pamoja na kurisk maisha yao lakini kitendo walichofanya ni cha kijinga na kinazidi kutuacha uchu kama primitive society....

Mhusika hakuwa na nia ya kujiua bali alikuwa anatania, kitendo cha hao askari kumpandia juu na yeye alikuwa na nia ya kufa si angekuwa tayari ameshajiachia?... askari walipata wapi ujasiri wa kumpandia mtu anayehitaji kujiua na ambaye ukionyesha tu nia ya kumfuata basi atajiachia....? tayari mhusika amekubali kushuka kwa nini uanze kumcharaza mikanda huko juu, na kwanini umpige wakati sheria zipo?

Askari wetu wanahitaji mafunzo ya hali ya juu pamoja na motisha ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi pasipo kuleta madhara....uwezo wao wengi wao uko chini ya mahitaji kwenye jamii..
Shida inaanzia kwenye mfumo wa malezi yetu waafrika.Watoto ulelewa kwa kipigo na sio kufunzwa.So mtoto anaogopa kipigo na sio kifunzo.
Thus hata walioshika Dhamana uamini Sana kwenye kupiga kuliko hoja.
Check mfano unakuta DC,RC,waziri nk kazidiwa hoja ana amrisha askari kamata huyu weka ndani, sasa akishakaaa ndani what next,
Watu wamevurugwa hatari unakuta ndoa nyungu, kazini kuchungu,
 
Tatizo litakuja pale Mheshimiwa Hakimu atakapoamuru akapimwe akili kwanza na majibu ya Dokta kuwa: "100% quite insane!"
 
Problem Attention

Namna ya kutaka kusikilizwa shida zako ikiwa umetumia kila njia ila mamlaka haitaki kukusikiliza

Hii ni mbinu ya mwisho ya kivita na ukikosea hata kidogo basi utaliwa kichwa
Kabisa inaonekana jamaa hasikilizwi
 
Back
Top Bottom