Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

Hao WCB na huyo Harmonize wote hamnazo

Wameshindwa mziki wameamua waingie kwenye mashindano ya ngono....shame on them!
Joanah hapo Wcb inahusikaje? Me naona hapo ni Rayvanny vs Harmonize.Unapozungumza Wcb ni record label sio kundi inayomilikiwa na Diamond ambaye amewaajiri wasanii kama mbosso,Zuchu, Lavalava na Rayvanny, wapiga picha, dancers na producers je umemuona diamond kajiingiza kwenye Hiyo issue au mbosso au Zuchu ya Rayvanny vs Harmonize?kama umeona hajishughulishi na hii issue kwanini useme Wcb nzima inapambana na harmonize?
 
Bifu ni Harmonize vs Rayvanny na sio WCB na Harmonize.
Kuna watu wameingilia bifu lisilowahusu nao ni Ibra,Lokole,Lukamba,Dj 7,Baba Levo
Nani kaanza jibu ni Harmonize baada ya kumvalia njuga mwenzie aweke rumande kwa ishu ya kuweka video akiwa na mtoto wa kajala.
Rayvanny nae baada ya kuona Harmonize anakula kuku na mayai akavujisha siri na video.
Bifu limekolea wametolea Wimbo kila mmoja lakini Harmonize amepata huruma za mashabiki kwa sababu kwa sasa WCB watu wameichoka wanachuki binafsi nayo ni wengi na wana nguvu kubwa kwenye mtandao pia..na Harmonize anaitumia hiyo advantage kuwachokonoa anajua hata akiharibu atatetewa kama kinachofanyika sasa.

Maoni yangu:Kwa sasa hawa watu walipofikia wanaharibu mziki wetu,kiasi cha kwamba leo msanii hata akitoa kazi nzuri haitasikika zaidi ya wao...mziki wetu una drop siku hadi siku kwa majungu na chuki za wazi wazi.Itakuaa kazi kubwa sana kuupandisha tena baadae maana nafasi tuliyonayo kila mtu anaihitaji.
 
Back
Top Bottom