Hatimaye Harmonize ajibu tuhuma zinazomuandama za kumtongoza na kumtumia picha za utupu Paula

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,479
34,749
Hatimaye nyota wa bongo fleva Harmonize almaarufu kama Konde Boy mnyama , ameibuka na kuelezea sintofahamu inayomuandama Kwa sasa kufuatia msanii mwenzake Rayvanny kuvujisha mawasiliano yake ya Faragha na mtoto wa aliyekuwa mpenz wake.

Rayvanny alivujisha mawasiliano hayo huku akimtuhumu vikali Harmonize kuwa kitendo alichofanya ni kinyume cha maadili na hivyo anapaswa kuomba msamaha

Katika kujibu tuhuma hizo Harmonize anaonekana kumlaumu Kajala kwa kuruhusu Jambo hili licha ya wao kutofautiana. Hata hivyo Harmonize anakili wazi shambulizi hili la kuvujisha mawasiliano yake limefanikiwa Kwa asilimia Mia moja , (A perfect and complete Rayvanny Victory ) wazungu wanaongeza kusema kafanyiwa "Excellent Ambush" .....
Wakat haya yakiendelea ikumbukwe pia Harmonize anakabiliwa na tuhuma nzito ya kumtukana na kumtishia kumuua mwanadada presenter Maimartha Jesse.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Harmonize anaandika

THIS ONE FROM THE BOTTOM OF MY HEART.....!!!! SIKUZOTE NAHESHIMU NA NITAENDELEA KUMUHESHIMU KILA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA KATIKA MAHUSIANO NA MIMI NIUKWELI USIOFICHIKA NILIANZA NA (JACK) THEN (SARAAH) KISHA (KAJALA) KILA 1 KWA WAKATI WAKE ....!!! NA KWA HAKIKA HAWA NDIO WANAWAKE WALIONIFANYA LEO HII NIKAWA (HARMONIZE) KWA PAMOJA TUMEPITIA MAZURI MENGI NA MABAYA PIA ....!!! MARA NYINGI SIZIANGALII TOFAUTI PEKE...!! NAANGALIA ZAIDI NYAKATI ZA FURAHA TULIZO PITIA NDIOMANA SIJAWAHI KUMDHARAU AU KUMUONGELEA VIBAYA YEYOTE KATI YAO ITOSHE KUSEMA NAWAHESHIMU NA KUWATHAMINI NA NAAMINI NI ZAIDI YA MARAFIKI NA NDUGU NIOWAHI KUWA NAO TOFAUTI HUTOKEA MUDA WOTE BILA KUJALI NI ZA AINA GANI AU ZINATOKEA WAPLILA MOYONI NAAMINI HAZIWEZI VUNJA UPENDO TULIO UTENGENEZA KWA MUDA MWINGI MYOYONI .....!!!!! SIKU ZOTE NITAENDELEA KUWAPA KIPAUMBELE KAMA WANAWAKE WENYE NAFASI KUBWA SANAAA UKIACHA MAMA YANGU MZAZI NINGEPENDA KUWAONA WENYE FURAHA ILI HATA KESHO NA KESHO KUTWA TUJE KUZIKANA MAAANA HAKUNA AIJUAE KESHO YAKE ....!!!!! NAAAMINI KUACHANA NI MWISHO TU WA MARIDHIANO KUTOKANA NA SABABU HUSIKA LAKINI SIO VITA WALA UHASAMA ...!!!! AU CHANZO CHA KUDHALILISHANA NA NINGEPENDA KUONGEA ZAIDI KUHUSU (K) ....!!!!!! AMBAE NAWEZA SEMA NDIO MTU WA MWISHO KUMILIKI MOYO WANGU ...!!! LEO TUPO WAZIMA LAKINI HAKUNA ANAEIJUA KESHO HAINA SABABU YA KUONYESHANA NANI NI ZAIDI NANI, KAUMIA , AU NANI KAKOSEA ZAIDI, KULIKO MWINGINE KWANI HAINA MAANA YEYOTE LAKINI PIA NI KUWAPA USHINDI WATU WALIOKUWA WAKIPAMBANA KUONA HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENE...!!!!!! KAMA ILIVYO ADA NITAENDELEA KUKUHESHIMU NA KUKUOMBEA MAFANIKIO MEMA UMEKUWA MTU MZURI KWANGU HUSUSANI KWA KIPINDI TULICHOKUWA PAMOJA ..!!! KWAKUWA MIMI SIO MTU WA KUELEZA ELEZA SANA ILIKUWAJE IKAWAJE NAFUNIKA KOMBE MWANA HARAMU APITE LAKINI PIA NIWASHUKURU ENGINEERS WOTE MLIOFANIKIWA KULIKAMIRISHA HILI ....!!! DAT WAS GOOD PLAN NA IMEFANIKIWA ....!!!!! ILA NIOMBE TU IWE KWA AMANIII ...!!! ISIWE #VIBAYA ....!!!!

Sambamba na hayo Harmonize ameachia wimbo kuelezea mkasa wake huo, wimbo unaitwa "VIBAYA"
 
171546402_2910364755886070_2937202626765485358_n.jpg
 
Back
Top Bottom