VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

Nafikiri amejiandaa kuingia msituni ndio maana ameanza kwa kuachia ndevu ili atishe watu. Nchemba amejaribu kumpoteza Lwakatare imeshindikana na sasa wamekuja na mbinu ya kuua

hakuna uchaguzi kashiriki na mauwaji yasitokee..igunga aliua pia arumeru...
 
Amani kwenu wana jf,ningependa kutoa pole kwa majeruhi wa shambulio la Bomu leo Arusha pia niwatakia pumziko la Amani wale wote walio tutoka

nirudi kwenye mada,mpaka sasa hakuna kiongozi wa serekali alietoa tamko,alifika hoşpitali wala aliefika eneo la tukio,hii inajenga taswira kuwa kilicho tokea ni mipango ya chama cha mapinduzi kwa kushirikiana na viongozi waandamizi wa chama na serekali

nashawishika kusem hivyo kwa kutumia case study ya naibu katibu mkuu bara ccm bw.mwigulu nchemba,amekuwa na mipango ya kinyama dhidi ya chadema na raia wenye uelekeo wakupinga serekali ya ccm

pia mwigulu amekuwa ni muumini wa siasa zilizo kosa ustaarabu na ikumbukwe pia kampeni nyingi alizoshiriki basi uchaguzi haukumalizika salama,mfano Arumeru mashariki,İgunga na Leo Arusha.

Pia baadh ya viongoz wa ccm walishawah nukuliwa kwa kauli mbali mbali kama kwa gharama yoyote ile hatakuwa tayar kuona cçm ikishndwa.

#nawasilisha
 
Huwezi kumtoa mwigulu katika mauaji ya leo Arusha, mwigulu anahusika na mauaji haya 100%. Vyombo vya usalama vitaogopa kumuhoji kwa vile ni mwanaccm! Kiukweli mwigulu ni katili kuliko mnavyofahamu!
 
Hongera mwigulu, hongra nape kwa mauaji yenu ya watu wasio na hatia. Nape aliyajua hayo ndiyo maana alikwenda kujihami kwa vyombo vya habari kuwa kuna watu wanapanga kufanya fujo. Hongereni sana, lakini iko siku hizo damu za watu zitatiririka juu ya vichwa vyenu!
 
Mwanadiwani
Hamjathubutu wala kuweza lolote, nchi imezidi kudidimia wakati Ina utajiri lukuki, hii si karne ya kuwa na Shule zisizo na madawati wala walimu tunabaki kujisifu kwa idadi ya shule na watoto walioandikishwa matokeo yake wanamaliza std 7 hawajui kusoma wala kuandika. Hii si karne ya kuwa na zahanati zisizokuwa na hata medical assistant, zahanati zinazoendeshwa na nurses na hata dawa hakuna. Hii si karne ya kuwa na wanafunzi wanaoandika muziki katika mitihani badala ya kuijibu, ni udhihirisho wa matatizo ya msingi mliyoshindwa kuthubutu kuyatatua. Msipokubali kushindwa hamtapata suluhisho mtabaki na mawazo yaleyale ya 47 wakati tuko Ktk digital world.
 
Mwigulu alishasema watu wasiende mikutano ya cdm et wanaua watu,je alikuwa anaihami il wanaccm wasife kwenye bom0,alienda mbali na kudai cdm imeua watu 8 na kutaja moro, arusha,tarime, iringa ,singida n.k je anaushahid ni cdm? Mi nashaur kama tiss/uwt wapo humu achunguzwe na aende polis aidha kukanusha au kutoa ushaid la sivyo hakwep issue ya bom.
 
Ccm twambie mmefanya nini na mtafanya nini! Acha kuhubiri vitisho hatuko somalia hapa.
Mnadharau kubwa sana mnamtuma nchemba atwambie tutakufa... Nyie mtaishi milele?!
Mnazidi kupandikiza chuki.... Mimi siwapendi....
 
Wendawazimu wa Bavicha mmeachiwa Uwanja mnajimwaga, siasa hatuziwezi tutulie. Mleta maada akili yako ya kutafsiri mambo ni ndoho. Kufa ni kwa ain tofauti. Inauma sana siasa mpk kwny maisha ya watu.
 
Haya ni matokeo ya kikao cha juzi mpaka usiku wa manane pale hotel ya Natroni karibu na stand ya mabus chini ya Mwigulu,Nape na Mwanri. Zenu zinahesabika.Rip dada Judith na Mtoto
 
Sasa wamekufa kwenye mkutano wa CDM! Hii ni hatari, Nchemba nadhani atatoa komenti kwa tukio hili linalotokana na kauli yake!
 
Back
Top Bottom