VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

Mwigulu (the terror) ni tishio kwa mustakabali wa mshikamano,umoja na amani ya taifa.serikali chukueni hatua haraka sana.remember days are numbered.
 
Hao waliokuwa wakimsikiliza huyo chizi ni watu wa arusha au?kama ni wa2 wa arusha watakuwa wamevurugwa.....
 
Kwanini huyu jamaa kila anapokuwepo kupigia kampeni chama chake lazima mauaji yanayowahusu wapinzani wake na yenye utata yatokea? Tukianzia Igunga Tabora na kuendelea.
 
Tatizo la Mwi-Miguu-lu iliyotoka N-chemba ya choo hunuka,
anatakiwa afundishwe kunawa iyo miguu kabla yakwenda mbele za watu
 
Rais mbona hakubali kuundwa kwa tume huru ya uchunguzi kwenye matukio haya?...
 
Ni wapi Mwigulu alishiriki kampeni za Uchaguzi asiuawe mtu? Nauliza tu.
 
Why is MWIGULU always linked to deaths, threats and blood??

coz he is a threat kwa maslahi ya watu flani.na since wabongo huwa tunaamini poroja zaidi ya real things tumekubaliana na porojo hizi.kama kweli mna ushahidi anahusika kwa nini msimpeleke mahakamani mnaacha anaendelea kufanya hayo mnayosema mauaji?au nyinyi wenye ushahidi na yeye lenu moja?
 
Rais mbona hakubali kuundwa kwa tume huru ya uchunguzi kwenye matukio haya?...

iundwe tume kuchunguza matukio ya kihalifu?nitajie mfano mmoja wa tume ambayo uliona manufaa yake kwa nchi,i mean ilitoa ushauri/outcomes nzuri na zikafanyiwa kazi.kwa bongo tume is another dili la ulaji wa miposho na mifeva kibao.
 
Mara ya mwisho mwigullu kwa Kutumia vijana wa kazi waliowatumia Igunga kumwagia Watu tindikali ...waliingia Arumeru na kumuuwa Kada wa Chadema....

Ukweli ni kuwa Mwigullu anafanya siasa zinazokiangamiza Chama Chake.....angekuwa na Mwenyekiti mwenye uongozi asingemuacha pale......
katika mila za kiafrika ......mtu anayekutushia kukuloga Kila Siku ..ukidhurika yeye ndio mtuhumiwa wa kwanza....Katika Kampeni hizi ...Mwigullu na Timu yake Badala ya kuhubiri sera wamekuwa wakitumia Muda mwingi kuwatishia kina mama na watoto juu ya mauwaji..,tindikali na mambo ya kutisha .........hii inamfanya yeye kuwa mtuhumiwa wa kwanza kwenye tukio hili ......ingelikuwa waliokuwa wakihibiri haya walikuwa wapinzani dhahiri wangeshakamatwa......

Hii ni ishara Mbaya ...kuwa uchaguzi ujao ...zitatumika nguvu kubwa sana kubakisha CCM Madarakani .....
 
coz he is a threat kwa maslahi ya watu flani.na since wabongo huwa tunaamini poroja zaidi ya real things tumekubaliana na porojo hizi.kama kweli mna ushahidi anahusika kwa nini msimpeleke mahakamani mnaacha anaendelea kufanya hayo mnayosema mauaji?au nyinyi wenye ushahidi na yeye lenu moja?


Kwa nini amekuwa naye akituhumu Watu mauwaji na ugaidi bila kuwa na ushahidi...mfano kumtembeza Yule kijana ...na kumtyhumu bila kwenda Polisi ....ni siasa za propaganda za damu.....tuachane na hizo siasa....Sasa utakataa akituhumiwa uchawi?
 
Nafikiri amejiandaa kuingia msituni ndio maana ameanza kwa kuachia ndevu ili atishe watu. Nchemba amejaribu kumpoteza Lwakatare imeshindikana na sasa wamekuja na mbinu ya kuua


Hivi karibuni alitoka kwenye mafunzo maalum ya propaganda za kijasusi...( ambayo nadhani hajafuzu) ndio maana amebadili uvaaji kuashiria uvaaji wa viongozi wa misituni ( Sijui ni maandalizi ya CCM Kuingia misituni mwaka 2015?)
 
Huyu ni mtuhumiwa namba moja achukuliwe hatua.Akamatwe na ahojiwe kwa kauli yake.
 
Mimi ananizingua na ile kofia yake ya Chinese Red Army.
Nadhani anavaa kwa sababu ni mkuu wa kikosi cha kuleta fujo cha CCM

Na kafanya kweli. Mabomu , mashoka, mapanga ndio vimetawala Arusha vikibebwa na Ma CCM kuuwa watu.
 
Kilichotokea arusha ccm wanakijua chote mwigulu na nape watajibu siki ya mwisho,wanafikiri kuahirisha uchaguzi ni solution ya kuja kushinda au watapata kura za kusaidiwa?kweli ccm wamekamatwa kipindi hiki na kwa ushauri wangu kama mwenyekiti wao anaingia huku kweli mwigulu na nape wanatakiwa wafukuzwe kwenye chama mapema.na mbona nasikia wote wameshakimbia ar?
 
Kuna jambo moja waTz hatujalitafakari sana. Ccm huwa wanatamka neno 'LAZIMA' kushinda! Maana yake ni kutumia hila za aina yoyote ile ili mradi washinde! Lakini hali hii mpaka lini? Kule Rwanda( kwa wale tunaofahamu) watu walikuwa wanajengeana chuki kidogokidogo, hatimaye chuki zile zilipoenea nchi nzima mlipuko wake dunia nzima inajua. Kila sehemu ccm wanapofanya hujuma hizi watu wanabakia na chuki, hizi chuki zitakuja kuenea nchi nzima na siku watu wakisema 'hapana', dunia itatambua. Hatuombi yatokee, lakini ccm watatufikisha huko!
 
wamethubutu na sasa wanasonga mbele kwa kuua watu na mabomu chini ya nchemba(gaidi)
 
Back
Top Bottom