VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

Bila Mwigulu Nchemba kukanyaga mafuta hali ya CCM isingekuwa hivi maana vijana wa CDM walikuja juu sana na kuwa vichwa ngumu huyu sasa ni zaidi ya @Nape Mnauye maana kinachotakiwa PIGA NIKUPIGE hakuna cha kugeuza na shavu lingine
huyo ndio kiboko yao Mwenyekiti JK alisema pale Kizota
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu ni kipenzi cha watu chukizo la Chamdomo kwani wao wanapenda mtu asiyewakosoa ili waendelee kuundanganya umma. Anachonifurahisha Mwigulu kajizatiti katika Jimbo lake la sivyo ahh wangemsambaratisha mapema. Mwigulu Mungu akupe nguvu katika kupambana na dhuluma na batli. Songela zigizigi a.k.a lalilali

nlikua siamini kuwa kuna watu bado wanaipenda CCM. hebu nishawishini nami maana bdo cjafanya uamuzi wa kuwa na chama kuna nn huko?
 
Mwigulu ni mtu hatari sana! Maana anasomesha watoto wa kike halafu anawadai posho kiduuchu! Anawaita wampe NGONO akiwa dodoma! Mashaitwani hawakupi kitu cha bure chezea shaitwan wa kijani wewe?
 
Sawa we mtu wa njia za lami zilizojengwa na CCM hongera sana kijana kwa kukisifia chama dume. Kumbe hata macho yako yanaona akili tu imepata ugonjwa wa M4CCM

CCM waejenga wao ndio walitulipia kodi na mikopo?
 
Kwa mujibu wa maneno ya Nchemba kuchagua mgombea wa CHADEMA ni kuchagua mchungaji na kuchagua mgombea wa CCM ni kuchangua muislam. Haya wakristo za kuambiwa changanya na za kwako CCM imeshawahukumu kwamba nyie hamfai kuwa katika chama chao na wamewachagulia CHADEMA kwamba ndo chenu. Tangu mwigulu atoke China hasali tena ameona kwamba wakristo waliomlea hawafai ameanza ugaidi.
Bavicha obnoxious propaganda at its best.

Ukimuona mtu anatanguliza maswala ya dini mbele kwenye siasa, hakuna pasi shaka huyo atakuwa ameishiwa hoja na anaanza kutumia dini kama ngao kwa sababu ni MDINI na bila kupepesa, huyu kiumbe anafaa aogopwe kama ukoma.

Watu maelfu kwa maelfu na miongoni mwao wakiwemo waandishi wa habari ambao wanahudhulia mikutano, huoni hata soni kubwabwaja peke yako kama mchawi.

Tutaendelea kuwafundisha siasa huku tukiwachapa viboko vya kisiasa mpaka hapo mtakapo lielewa somo la siasa.

Bavicha ni janga la Taifa na tuipige vita kama ukoma
 
ukweli utajulikana chamdomo acheni kusema msichokijua. Hata bomu la awali shutuma nyingi lakini baadae ukweli ulijulikana. Jiulize ccm warushe bomu kwa faida ipo? Na kwa faida ya nani? Ar mmeiharibu wenyewe hiyo chamdomo
bomu la kwanza ukweli upi umejulikana mama mdogo? Uyo dereva toyo? Hivi mnatufanya watanzania wajinga kiasi hicho hiyo dereva toyo yatima wawatu ndiyo mmepata tawi la kuulagai kuwa ndiyo gaidi, mtu mwenye hata bomu kama ni kuliona ni kwenye video za rambo na van damme, ni kwambie kitu iundwe tume huru kwenye mambo yote uone serikali yako ikatavyo vuliwa nguo, lakini kwa swala la juzi mtauumbuka vibaya maana hatutakaa kimya kama kanisa lilivyo kaa kimya, hizo silaha ni zilizo letwa na kinana alipoenda safari yake kule china mwaka huu na polisi wana jua mchezo mzima...uliwahi kuona wapi gaidi anapiga risasi za miguu
 
Bavicha obnoxious propaganda at its best.

Ukimuona mtu anatanguliza maswala ya dini mbele kwenye siasa, hakuna pasi shaka huyo atakuwa ameishiwa hoja na anaanza kutumia dini kama ngao kwa sababu ni MDINI na bila kupepesa, huyu kiumbe anafaa aogopwe kama ukoma.

Watu maelfu kwa maelfu na miongoni mwao wakiwemo waandishi wa habari ambao wanahudhulia mikutano, huoni hata soni kubwabwaja peke yako kama mchawi.

Tutaendelea kuwafundisha siasa huku tukiwachapa viboko vya kisiasa mpaka hapo mtakapo lielewa somo la siasa.

Bavicha ni janga la Taifa na tuipige vita kama ukoma
Viboko vyenyewe ni hayo mabomu ya Kinana na Mwigulu, basi hii siyo siasa ni vita mnatufundisha na sisi tuyatafute kama siyo kuya tengeneza...
 
Viboko vyenyewe ni hayo mabomu ya Kinana na Mwigulu, basi hii siyo siasa ni vita mnatufundisha na sisi tuyatafute kama siyo kuya tengeneza...
Kwa sababu akili yako ni finyu na kwa ufinyu wake inafikiria kishetani basi hata neno kiboko cha kisiasa kwako ni neno la kishetani.

Siyo kosa lako ila lawama ziende mtaa wa Togo kwa kukujaza akili za kibavicha bavicha.

Bavicha ni janga la taifa na tuipige vita kama ukoma.
 
Mh! yaani wanawake ndio wanaangusha nchii hii ...hebu sikia hizo sauti za kina mamaaa.....ndiooooh ndioooooo babaaaaa....semaaaaaaa.......wapewapeeeeeee! utafikiri tupo kwenye mipasho!....
 
MwanaDiwani unashauriwa pia umsindikize Mwigulu kwa CP Chagonja ili mchango wake/wao katika mauaji ya Soweto, Arusha ueleweke.
 
Tumekuona, Tumekusikia. Ndevu unazofuga na kofia vinafanana kabisa na vya Jonas Savimbi ambae sifa yake kuu ilikuwa kupenda mauaji ya wenye mtazamo tofauti wa kisiasa. Na kwa miaka karibu thelathini alikuwa anavurugu juhudi zozote za kuleta amani Angola. Lakini umeishafuatilia aliishia wapi ? Mungu alieruhusu amani ije Angola bado YUPO.
 
wakuu hivi huyu Edina kapona kweli? maana jamaa alishaacha record kule igunga! kumbakumba ecarus !! ha ha ha
 
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii nguli wa kisiasa kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji au nani ni mdini na nani siyo mdini katika karne hii ya 21,

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.

CCM Tumethubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Ni kweli mnatenda, tumeona Arusha na Mtwara.
 
Back
Top Bottom