Napata shaka na uchambuzi wako, sababu hana muda mrefu kwenye siasa za ccm.watu walianza kumfahamu kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga ambapo,hata hivyo alikuwa anaropoka sana na kubebwa na rushwa ya maji ya maboza, chakula cha msaada, na pia akatoka na kashfa ya kufumaniwa na mke wa mtu.katika siasa za igunga watu wengi walihoji umakini na umadhubuti wake.lakini, sababu ccm inaendeshwa kwa makundi na kukomoana , bado alionekana kijana mchapa kazi na mwanasiasa mahili upande wa kundi lake,kuwa," anajibu wapinzani."Lakini si kweli wana ccm wapatao mil 6 wanamkubali.wapo vijana wasomi , makini ,wachapa kazi na weledi kimisingi ya kusaidia umma hata kutetea itikadi ya ccm ya kutetea wanyonge.lakini hawapewi nafasi.Hivyo kachwa kutetea kundi la wana ccm mafisadi kiasi, kwamba anashindwa kuhimili mabadiliko na kuwa msanii wa kuropoka maneno yake na si sera za kutetea wanyonge.Ki msingi NCHEMBA si mwana siasa mweledi wa si mahili , na wal hakuwa mvuto muda mrefu.ila kwa wanaccm wa kundi lake wanaosaidiwa na Riz mtoto wa kaya , wakitetewa na usalama wa taifa , mwache naye apige karata yake .ndo maisha ya watanzania tumezoe ghiriba, hili, hadaa, na unyonge ulikithiri bila kuwa na mtetezi.sasa kama anasema maneno hayo ya kutowasaidia wananchi wa Arusha , je wana arusha si walipa kodi?je hakuna rasilimali mkoa wa arusha taifa linafaidika nazo ambazo wanaArusha wanasitahiki kupelekewa maendeleo bila kujali itikadi za kichama? wana Arusha je ,si watanzania wanaositahiki maisha bora bila siasa za vyema?kama kweli kasema hivyo hata ndani ya ccm hafai.