VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

Nakumbuka mlimani (UDSM) aliambulia U-class representative wa course yake ikiwa na watu 23 tu, wenzake hao 22 walimpa uongozi kwa kumuona ni mlafi wa madaraka, ila hakupata kura hata moja wakati akiomba uwakilishi wa Darasa baada ya kuomba kuwakilisha darasa la watu 600 walikuwa wanachukua somo la uchumi! nina wapa pole yenu mnaomuona wa maana huyu jamaa kuwa ni karata ya mwisho - mwokozi wa chama chenu
Mi huyu jamaa nilisoma nae pale Mazengo huwa ana tabia ya kutafuta umaarufu bila kutumia akili. Pale shuleni wiki chache sana kabla ya necta alikuwa akitembea anapungia watu vidole vitatu akimaanisha atapata div 1 ya point tatu kwenye EGM yake. Pamoja na kumeza Mzumbe project yote maswali na majibu yake aliambulia div 3 ya mwisho...mchumi 1st class huyo. Vijana kama akina Nashon Andrew walikuwa wanamshangaa tu kisha necta ikasoma div 1 kali tu kwa akina Andrew. Yeye oohh nakata rufaa..mara nimeonewa...mara nilipaniki...hovyooo...midevu yake anataka sifa tu. Siye huyu alimshambulia Maalim Seif kwamba baada ya kuupata u VP sasa kanyoa timberland...mie Mwigulu huwa namdharau sana.

Pangu Pakavu.
 
Kwanini huyu jamaa naye asiwekwe kati akachezeshwa gwaride?. Wale walenga shabaha wako wapi wamtungue kwa mbali huyu mguu wa chemba ya choo?. Mbona anaua watanzania wengi halafu anaangaliwa tu?. Hivi tunafurahia huyu jamaa kuendelea kuwaua watanzania kwa maslahi yake na chama chake?.
 
Mimi ananizingua na ile kofia yake ya Chinese Red Army.
Nadhani anavaa kwa sababu ni mkuu wa kikosi cha kuleta fujo cha CCM
Mimi namshangaa,.. afisa mkuu kama yeye kwenye ccm anavaa kofia ya chama cha nchi nyingine sijui ana maana gani! Ndio maana tunasema ni wasanii. Kama hawezi kuona sio sahihi nafasi aliyopewa na ccm ni wazi haimudu.
 
Juhudi zinafanyika Sana Ukiondoa. Video YouTube lakini wamechelewa sana...ipelekwe The Hague....ushahidi tosha ..
 
Hiyo video siion hata link hakuna,mutu anisaidie kuirahisisha!

R U Serious? This is YOUTUBE VIDEO and you do know how to find the LINK and the conection to IT...

Kwanini Undanganywe? Kwasababu ni MWIGULU? au umeona anaongelea si Mazuri kwa TAIFA letu na bado yupo Madarakani? Ni kiongozi kijana ati anafaa ati amesoma ati anauwezo ati hatukani ati ana hoja nzuri za ajabu ati atainufaisha CCM huko mbeleni ati yeye sio FISADI MDOMONI ati habebi JOBLESS kwenye MIKUTANO yake kweli TUTAFIKA?

Bakia huko huko; aacha hao wajanja wakutengenezee Daraja la kuchota hiyo MALI ya NCHI yako wakati wewe unatafuta LINK ya hiyo VIDEO
 
Jamaa ana roho mbaya zaidi ya Hitler

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

.
Jk kampa ukamanda wa kuamuru dola Mwigulu bila kutambua kuwa huyu jamaa ni staff mental. Kuna habari za watu walio karibu na Madilu a.k.a Mwigulu kuwa alishawahi ugua ukichaa wakati wa utoto wake.
.
 
huyo ni mtoto w anji aya vumbi waarusha na wenyewe wanawadharau sana akina mwigulu na ndicho alichoambulia hata kwa CCM wenyewe.

MTU WA NJIA YA VUMBI HUCHUKUA SANA MUDA KUSTAARABIKA,AKIPEWA UNYAPARA ANAKUWA NA KIHEREHERE KULIKO MHINDI.
 
Mimi namshangaa,.. afisa mkuu kama yeye kwenye ccm anavaa kofia ya chama cha nchi nyingine sijui ana maana gani! Ndio maana tunasema ni wasanii. Kama hawezi kuona sio sahihi nafasi aliyopewa na ccm ni wazi haimudu.

si ndiyo wamewapa mabomu na bunduki za kuwamaliza chadema..
 
Mwigulu ni kipenzi cha watu chukizo la Chamdomo kwani wao wanapenda mtu asiyewakosoa ili waendelee kuundanganya umma. Anachonifurahisha Mwigulu kajizatiti katika Jimbo lake la sivyo ahh wangemsambaratisha mapema. Mwigulu Mungu akupe nguvu katika kupambana na dhuluma na batli. Songela zigizigi a.k.a lalilali
 
huyo ni mtoto w anji aya vumbi waarusha na wenyewe wanawadharau sana akina mwigulu na ndicho alichoambulia hata kwa CCM wenyewe.

MTU WA NJIA YA VUMBI HUCHUKUA SANA MUDA KUSTAARABIKA,AKIPEWA UNYAPARA ANAKUWA NA KIHEREHERE KULIKO MHINDI.

Sawa we mtu wa njia za lami zilizojengwa na CCM hongera sana kijana kwa kukisifia chama dume. Kumbe hata macho yako yanaona akili tu imepata ugonjwa wa M4CCM
 
si ndiyo wamewapa mabomu na bunduki za kuwamaliza chadema..

Ukweli utajulikana Chamdomo acheni kusema msichokijua. Hata bomu la awali shutuma nyingi lakini baadae ukweli ulijulikana. Jiulize CCM warushe bomu kwa faida ipo? Na kwa faida ya nani? AR mmeiharibu wenyewe hiyo Chamdomo
 
Jamaa nilikua najua ana brain iliyotulia kumbe he is empty. Tuseme ameishiwa maneno ya kusema au alipiga viroba kabla ya kupanda jukwaani
 
Watasema video feki hiyo maccm

Unajua maneno aliyoongea ni mazito sana kwa nchi zilizoendelea kwa kauliyake hii chama chake kingepotea. Ila kwa hapa tanzania tuta isahau ndani ya wiki tu.
 
Tuseme nini basi sisi ndama kama kuingia upinzani ni kuikataa CCM basi adhabu yetu ni kufa
 
Kuishabikia ccm kwasasa kunahitaji Uwe kichwamaji hasa au ule kwanza kale kajani la sivyo...ni ngumu ukiwa na akili zako timamu! Ni wazimu na sio siri ccm is going to the very end tena kwa aibu hakuna kitakachoweza kuirudisha ccm kwenye mstari wa uzalendo umakini na utendaji wenye kujali maslahi ya Taifa kwanza kwao kila kitu ni deal ni vema wakajiandaa tu kuwa chama cha upinzani au wakajiandaa kupotea milele

napata shaka sana na kauli yako kama unajua uanaloongea katika chaguzi ndogo za tar 16 ccm imeshinda kata 16 cdm 6 xx ccm inakufaje vibaya? tunapo ongelea siasa tuongee kwa uwiano na ukwl kwa matokeo haya ni kwamba ccm bado inapendwa sn ni mtazamo wangu tu
 
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii nguli wa kisiasa kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji au nani ni mdini na nani siyo mdini katika karne hii ya 21,

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.

CCM Tumethubutu, tumeweza na sasa tunatenda.
Kwa mujibu wa maneno ya Nchemba kuchagua mgombea wa CHADEMA ni kuchagua mchungaji na kuchagua mgombea wa CCM ni kuchangua muislam. Haya wakristo za kuambiwa changanya na za kwako CCM imeshawahukumu kwamba nyie hamfai kuwa katika chama chao na wamewachagulia CHADEMA kwamba ndo chenu. Tangu mwigulu atoke China hasali tena ameona kwamba wakristo waliomlea hawafai ameanza ugaidi.
 
Back
Top Bottom