Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,325
- 7,533
Piga hadi usoni mkuu ili epuka suala la ushahidi wa video.Duh,sasa walimu kazi tunayo
Piga hadi usoni mkuu ili epuka suala la ushahidi wa video.Duh,sasa walimu kazi tunayo
Labda ila najua wanadaiwa.TISS....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaihurumia simu yako.Ila hayo makofi huwezi fananisha na ya kule mbeya, makofi aliyokula sebastian wa mbeya si kitoto, mpaka nkawa nahisi kama kioo cha simu yangu kinataka kutoa ufa wakati naangalia ile video
Mbona polisi nao wanapiga sana.sidhani kama mwanafunzi kweli huyu,ila hata kama si mwanafunzi huu sio upigaji wa mtu sheria ichukue nafasi yake
thanks for yur understanding !!Alaf wewe teacher umewasisitiza wenzako watoe dose off camera ee ?
unamaanisha kuchapwa kwa waalimu huko Bukoba !!!? OKWell tuliache tu kama bado ulikuwa O-level hutokuwa na kumbukumbu zile
unamaanisha kuchapwa kwa waalimu huko Bukoba !!!? OK
make your point !!
Vanish then !!!!!am a severely tired see you
Mkuu hatuhalalishi adhabu yoyote yenye kiwango hiki iwe ni police iwe mwalimu iwe ni mtu yeyote. Hakuna mwanadamu yeyote anayestahili mateso haya.Wana akili timamu.
Kwani polisi wakipiga wanakuwa wamechanganyikiwa.
Endelea kuamini hii ndio Tanzania.Kweli walimu nimeamini hamnazo kabisa halafu mnateteana
Ile ya mbeya toto hata halitoi machozi.Laana za kujitakia hizi, watoto wa maskini hawa muwaonee huruma jamani. Kwa upande wangu hii ndo inatisha kuliko ile ya mbeya sec
Labda ni Mishahara haitoshi
Hata kama hawavuti ila ni kupiga tu maana hakuna namna.mamaae walimu wavuta weed
Ndio ujinga wa watanzaniaUnashangaa ukatili huu hapo Dom juzi tu tume poteza wataalamu wetu bila hatia, Mungu atalipa hatakama siyo leo
Samahani mkuu washanivuruga na kujikuta nawaweka kundi moja na hao shule za msingi maana nao wanapiga watoto balaaAcha kukariri au unamaanisha walimu wa msingi mimi najua sekondari walimu wana Bachelor degree.