moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,254
Ni jina lako harisi tukupime au kwa vile uko nyuma ya keyboard !! MoronJamani hawa division four wataua watoto wetu.
Ni jina lako harisi tukupime au kwa vile uko nyuma ya keyboard !! MoronJamani hawa division four wataua watoto wetu.
Kukaa na wazazi ili iweje,nani atalipia gharama za kikao.Huyu mtoto anashida huenda hajala, anamatatizo lukuki unaanzaje kumpiga. Kama ni jeuri kwanini usikae na wazazi wake.
Wawapeleke shule za binafsi.Hii iwashtue wazazi wawe serious kufuatilia maendeleo ya wana wao shuleni
Umepania wewe nahis utakuwa mwalim ila waoneni huruma ni wadogo zetu hawa
Yes mi ni mwl I speak from my experienceUmepania wewe nahis utakuwa mwalim ila waoneni huruma ni wadogo zetu hawa
Anafundishwa nidhamu.Yaani nimejikuta mnyonge aisee, angalia hata hali ya yule mtoto mpole, lkn jamaa anaanzaje kumpiga hata kichwani!!?
Nimeikuta Facebook sasa hivi huko. Mwandishi kasema ni Dodomaipo wapi niilete
Yes mi ni mwl I speak from my experience
Tatizo limeanzia kwa mkuu wa kaya.Huu ni mwaka wa wanafunzi. Waliitwa viraza, sasa wanapigwa kama Majambazi Mungu wanusuru wanafunzi wa Tanzania.
Mtoto anatakiwa kuwa na adabu.Awe mwanafunzi au sio, lakini huoni kama huyo ni MTOTO???
Kwani wao wangekuachaKama ningetokea eneo la tukio lazima ningepigana[emoji109] na hao walimu unauma
Peleka mtoto wako shule za binafsi.Kama mapigo yenyewe ndio hayo bora anyimwe tu.
Bado nilikuwa masomoni !Crush Program ya 2006 ulikuwa wapi ?
Nimeitazama hii clip nimegundua wale si walimu. Ila kwa kuwa kichwa cha habari kimetaja neno walimu basi nanyi mmesadiki. Huu ni uchochezi na mambo mabaya yanaweza tokea baadae baina ya jamii na walimuKweli walimu nimeamini hamnazo kabisa halafu mnateteana
Utaweza hapa ni Tanzania.Naomba kuuliza hiyonshule ipo sehemu gani? Kwakweli roho imeniuma sana, sio kwa fimbo alizochapwa huyo mtoto bali kwa nguo alizovaa. Kweli inasikitisha sana, Kweli hata viongozi wanaenda huko vijijini na kujionea watu walivyo masikini namna hiyo?
Naomba kwa kweli nanzisha kampeni soon. Itaitwa Msaidie nayeye avae vizuri.
Jiandaeni wadau.
Bado nilikuwa masomoni !
what's your point ?
Sina stress na kufundisha sekondari ilikuwa mwisho mwaka juzi.Mkuu inasaidia nini sasa, kwani kichwani ndoo siku hizi makalio yamehamia!!!! au una strees na wewe!!!
Alaf wewe teacher umewasisitiza wenzako watoe dose off camera ee ?