Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Laana za kujitakia hizi, watoto wa maskini hawa muwaonee huruma jamani. Kwa upande wangu hii ndo inatisha kuliko ile ya mbeya sec
Kama ningetokea eneo la tukio lazima ningepigana[emoji109] na hao walimu unauma
 
Heeee!!! Yaani ningetoka baru nisingeonekani mtaani mwezi. Naogopa sana fimbo jamani
 
Labda ni Mishahara haitoshi

Naomba kuuliza hiyonshule ipo sehemu gani? Kwakweli roho imeniuma sana, sio kwa fimbo alizochapwa huyo mtoto bali kwa nguo alizovaa. Kweli inasikitisha sana, Kweli hata viongozi wanaenda huko vijijini na kujionea watu walivyo masikini namna hiyo?
Naomba kwa kweli nanzisha kampeni soon. Itaitwa Msaidie nayeye avae vizuri.
Jiandaeni wadau.
 
tupo pamoja mkuu
 
Ila hayo makofi huwezi fananisha na ya kule mbeya, makofi aliyokula sebastian wa mbeya si kitoto, mpaka nkawa nahisi kama kioo cha simu yangu kinataka kutoa ufa wakati naangalia ile video
 
Back
Top Bottom