Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Hapo kweli walimu wamemuonea,mwanafunzi anaonekana mnyonge kabisa alf mdogo,lifimbo likubwa
 
Haya mambo ya kupost kila tukio tunako elekea kubaya sana, shule kila mtu Anajuwa jins alivyo rekebishwa au kufunzwa na walim, ni Zaid ya hapo Sasa hiv Kuna haki Elim, haki za binadam, hi siasa kwenye Elim tutafika tuu
 
ktk hii dunia ya sasa kitekinolojia, siyo walimu tu, wote mahali unapokua jihadhali sana na kitendo/vitendo vyovyote unavyodhani vinaweza kukutia matatani. mambo ya smart phone haya,ni balaa.uko baa kesho unaamkia kwenye mitandao.
 
mangi ana kudai mama mwenye nyumba kakinukisha ucku kucha ulilala njaaa na sukar bei juu umeenda shule na njaaa what can upon dogo ana zingua mshahara mdogo makato mengi yenye akili zake lazima uwe chiz polen walimu mungu awatie nguvu njooni tufuge kuku no stresss
 
Tatizo lipo kwenye hii taasisi,

ni vizuri hatua za haraka zichukuliwe,

kuwaepusha vijana wetu na vipigo vya walimu hali inatisha,

hapa sasa ndio tunataka tuwaone TWAWEZA na zile tafiti zao.
 
haya matukio mawili yaliyorekodiwa ya walimu kuwasurubu watoto it seems to be just a tip of the ice berg.
 
Daah this is too much.! Umaskini na hali ya huyo kijana ikuwa hukumu tosha zaidi ya hizo fimbo..anazopewa..
 
Mkuu akipigwa mtoto wako kiasi kile utayazungumza haya? Hatusemi mtoto ni mtakatifu ila ziko mamlaka husika za kukabiliana na tatizo sio kupiga mtu kama ng'ombe
Siku nyingine usitumie nguvu nyingi mtu aliyeshindikana na tiba ya mirembe
 
Back
Top Bottom