Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

sidhani kama mwanafunzi kweli huyu,ila hata kama si mwanafunzi huu sio upigaji wa mtu sheria ichukue nafasi yake
 
Kweli walimu nimeamini hamnazo kabisa halafu mnateteana
 
Napata feeling huenda hii ni misheni imepangwa ili kuihabarisha serikali kwamba walimu wameamua kuharibu kazi.
Haya matukio mbona kama yanarekodiwa na waalimu wenyewe?
Jamaa amesema hajaribiwi,kuwatimueni wote nchi nzima hashindwi yule,ohoo,shauri yenu!
Hana ujanja.
 
Hawa walimu watatuulia watoto aisee jamani walimu wanakula bangi ndiyo waingie kazini au nini maana yake.. Naona hawatoi onyo ila wanataka kuuwa sio kwa kupiga kwa style hizi za mwendo kasi..[emoji35]
Wapigwe tu kufa hawafi ila cha moto watakiona.
 
Unashangaa ukatili huu hapo Dom juzi tu tume poteza wataalamu wetu bila hatia, Mungu atalipa hatakama siyo leo
 
Sijui ni hasira za kukatazwa tuition na mkuu wa kaya, sasa hasira zao za kukosa pesa ndio wanamalizia kwa hawa dogo!
Sio hivo mkuu...mwalimu anatishiwa kukosa ajira kama wanafunzi wakifeli....hapohapo kila mwalimu anapo fundisha kwa ujuzi wake wote mwanafunzi hataki kujifunza huku akiinesha dharau na jeuri ya wazi kwa mwalimu....na wakati mwingine hata kumpiga mwalimu..
 
Back
Top Bottom