Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Kama mshahara hautoshi kwanini usiache kazi? Halafu kwanini hao walimu wanawapiga watoto vichwani na kwenye masikio?
 
Najuta kuiangalia

Duh

Sheria ipitishwe moja kali sana, walimu wapuuzi wanaotenda haya.
 
Mh!! Msimu waalimu kazi ipo.
Naona makaburi yanafukuliwa sasa.
 
Ayo ndo malulupu ya walimu apo akifikiria ana madeni na anadaiwa kwa Dukani na familia njaa kali unadani atawaacha apo hasira zote zitaishia kwa watoto..... JPM asiwapotezee awarudishie allowance zao km zaman lasivyo wataua
Kuna kada ambayo hawadaiwi.
Nitajie hapa.
 
Cna uhakika kama hyo ni mwanafunzi, ila kifupi kunawatu hawana hata chembe ya huruma, hyo mtt analazimishwa kushika tofari, tena kwa kipigo,

Jaman hii nchi mbona haina huruma, wanadam wanawapiga wenzio kama wanyama, wanawatesa kama hawakuzaliwa, nimejarib kujiuliza tu hivi hyo mtt akikua akaja kuwa na maisha mazr na akakutana na walio mfanyia hvyo atachukua hatua zipi?

Huenda hli tukio limefanyika mda mtefu, ila ki ukwel inaonekana jamii inahasira, cjui ni maisha au chuki, au kunatazo la kisaikolijia,

Anyway kunahaja ya kujitafakari,
 
nlichogundua n kwamba mwalimu akipgwa na wanafunz watukutu, jamii nzma na viongoz wanafuraia mana hawatoag reaction kama hizi. UALIMU MBOMBO NGAFU JAMANI,
 
Mimi naona kama mchunga ng'ombe ameingiza mifugo maeneo ya shule, lakini pia ndugu walimu haijalishi ni mwanafunzi au lah!!! mtoto wa mtu kumpiga kiasi hicho haisaidii chochote.
 
Kama mshahara hautoshi kwanini usiache kazi? Halafu kwanini hao walimu wanawapiga watoto vichwani na kwenye masikio?
Ili iweje wakati wamepoteza muda kusomea Ualimu.
Wapigwe tu maana hakuna namna na ushahidi hautakuwepo.
 
Laana za kujitakia hizi, watoto wa maskini hawa muwaonee huruma jamani. Kwa upande wangu hii ndo inatisha kuliko ile ya mbeya sec
Mbona vipigo vya askari unaona vya kawaida.
Au havitishi,hii ndio Tanzania.
 
Back
Top Bottom