Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Yaani walimu wa Tanzania wanaonekana kama wanyama,watanzania wanafki wamechukulia walimu kama ndo watu wa kuwatolea hasira zao,upuuzi mtupu,tabu wanazopata walimu sijawahi Ona watu wakiwatetea namna hii,yaani mnawaona walimu kama mbwa? Vipigo wanavyotoa polisi hadharani tena kwa mtu ambaye hapingi kukamatwa sijawahi Ona vikitolewa matamko hivi,leo eti wanafki Fulani humu wanajifanya kusema inatosha,WALIMU ACHENI UPUUZI HAO WATOTO SIO NDUGU ZENU,WAFUNDISHENI NENDENI NYUMBANI,ACHANENI NA KULAZIMISHA WATOTO WA WATU WAFAULU,WATANZANIA NI WANAFKI SANA WATAKUJA KUWAUA.
 
Hakika mkuu,watanzania ni wajinga sana.
 
Back
Top Bottom