WalishakaririKwani kila mtu akivaa koti ni mwalimu
Sheria Tanzania ni kupiga bila kuweka ushahidi wowote.Najuta kuiangalia
Duh
Sheria ipitishwe moja kali sana, walimu wapuuzi wanaotenda haya.
Umenena mkuu,hadi serikali yetu ya dikteta uchwara inakuwa kimya.nlichogundua n kwamba mwalimu akipgwa na wanafunz watukutu, jamii nzma na viongoz wanafuraia mana hawatoag reaction kama hizi. UALIMU MBOMBO NGAFU JAMANI,
Sijui ni hasira za kukatazwa tuition na mkuu wa kaya, sasa hasira zao za kukosa pesa ndio wanamalizia kwa hawa dogo!Jaman hili janga linasababishwa na nn haswa mbn mamb ya kinyama sana
Inasaidia sana ila wewe hujui.Mimi naona kama mchungaji wa ng'ombe ameingiza mifugo maeneo ya shule, lakini pia ndugu walimu haijalishi ni mwanafunzi au lah!!! mtoto wa mtu kumpiga kiasi hicho haisaidii chochote.
Ni kweli mkuu,yan huyo mwl kapiga bakora mpk kichwani!so sad,hlf mwanafunzi akuwa akionyesha ukaidi wwt ule!Laana za kujitakia hizi, watoto wa maskini hawa muwaonee huruma jamani. Kwa upande wangu hii ndo inatisha kuliko ile ya mbeya sec
Watu wengi ni shida tupu na masikini wa kutupwa hapa Tanzania.Walimu wa siku hizi ni shida tupu!!
Na nyingine hii hapa ====>
Hakika mkuuWanakuambia mtoto usimnyime mapigo