Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

Khaaa! huu mwaka mpaka uishe walimu watakuwa wameona mengi


Pixel
 
Mbona ajavaa uniform huyo au ni mwanafunzi kweli mleta habari
 
Ayo ndo malulupu ya walimu apo akifikiria ana madeni na anadaiwa kwa Dukani na familia njaa kali unadani atawaacha apo hasira zote zitaishia kwa watoto..... JPM asiwapotezee awarudishie allowance zao km zaman lasivyo wataua
 
Sasa na wao inakuwaje WANAJIREKODI?!

Walimu mmekuwa malimbukeni sana!

Hiyo ARDHI kama ya KIGOMA hivi!
 
Back
Top Bottom