The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
But very foolish to show the world how ignorant he is!Halafu watu mnakuja kubishsbisha tu kwamba hatujaingia uchumi wa kati na eti awamu ya tano haijafanya kitu
Tutatosha kweli watu wote wa Tanzania 🇹🇿 kuingia UCHUMI WA KATI GUEST HAOUSE?Halafu watu mnakuja kubishsbisha tu kwamba hatujaingia uchumi wa kati na eti awamu ya tano haijafanya kitu
Sawa mkuu tunamtakia kila la heri japo ajavunja sheria yeyote. Lakini kuna kitu Inaitwa self esteem 'staha'. Anachofanya kwenye iyo video siyo sawa.Aisee dakika kumi za kufungua mabulungutu
Bebi sei ma neeim
Make it rain...
tusichoshane wakati anazitafuta hatukumsaidia hivyo hatuna ubavu wa kumpangia lifestyle yake. Acha afurahie
Ktk mbo ya kiroho hiyo video inaqeza kuwa inaeleza mengi sie twaiona ya kawaida kumbe mwenzetu yupo ananuia kwa njia ya kujificha chini ya mwamvuli wa kurusharusha pesa.Sawa mkuu tunamtakia kila la heri japo ajavunja sheria yeyote. Lakini kuna kitu Inaitwa self esteem 'staha'. Anachofanya kwenye iyo video siyo sawa.
Hahaha Semenya wa Ukaldayo hujalala tu? Mimi kwenye top ten thousand bongo lazima niwepoTafuta hela acha kulia lia hapa SEMENYA wewe
Kwenye sekunde ya 00:07 nimecheka Anasema big muscle men mutherf..Ktk mbo ya kiroho hiyo video inaqeza kuwa inaeleza mengi sie twaiona ya kawaida kumbe mwenzetu yupo ananuia kwa njia ya kujificha chini ya mwamvuli wa kurusharusha pesa.
Fuatilia maneno anayosema.... Kila anaporusha noti hewani
Myebusi huku kwetu uswazi sungusungu ni zamu zami na leo ni zamu yangu, hahah hongera we mperiziHahaha Semenya wa Ukaldayo hujalala tu? Mimi kwenye top ten thousand bongo lazima niwepo
Dah mgerasi maisha gani hayo ya kurandaranda usiku ukimuacha mke wako akigongwa na gariMyebusi huku kwetu uswazi sungusungu ni zamu zami na leo ni zamu yangu, hahah hongera we mperizi