Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,510
- 3,332
Video ya kutisha ya bodycam inatarajiwa kuwekwa hadharani huko Mephis Marekani baada ya polisi watano weusi wa marekani kumuua kikakatili Tyre Nicholus kwa kumpiga mfulululizo mtu mweusi kwa uendashaji mbaya wa gari.
Hata hivyo hakuna ushahidi alikuwa akiendesha gari vibaya.
Mkuu wa Polisi wa Memphis mwanadada naye Black American ametahadharisha video iyo ni ya kuogofya na hajawahi kuona kitu cha kutisha kama hicho na kuendelea kusema 'It is about human dignity, integrity, accountability and the duty to protect. As this video will show – it doesn't matter whose wearing the uniform.'
Wakati huo Joe Biden rais wa Marekani amewaomba wamerakani wawe wavumilivu wasidanye fujo baada ya video iyo ya bodycam kuwekwa hadharani.
Piga picha ingekuwa Polisi wazungu kufanya hivi?
Video iyo hapo chini 👇🏿