Video: Mtu mweusi maskini akipata hela nyingi anakuwa limbukeni

Aisee dakika kumi za kufungua mabulungutu

Bebi sei ma neeim
Make it rain...

tusichoshane wakati anazitafuta hatukumsaidia hivyo hatuna ubavu wa kumpangia lifestyle yake. Acha afurahie
Sawa mkuu tunamtakia kila la heri japo ajavunja sheria yeyote. Lakini kuna kitu Inaitwa self esteem 'staha'. Anachofanya kwenye iyo video siyo sawa.
 
Ktk mbo ya kiroho hiyo video inaqeza kuwa inaeleza mengi sie twaiona ya kawaida kumbe mwenzetu yupo ananuia kwa njia ya kujificha chini ya mwamvuli wa kurusharusha pesa.

Fuatilia maneno anayosema.... Kila anaporusha noti hewani
 
Kwenye sekunde ya 00:07 nimecheka Anasema big muscle men mutherf..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom