bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
It cant be KEPT if s/one does then ana matatizo makubwa sana sana na ni balaa kwenye ukoo wake na familia yake. kama bro wako yuko hivyo sorry man
siwezi kukoment hap coz siujui Nguli.
It cant be KEPT if s/one does then ana matatizo makubwa sana sana na ni balaa kwenye ukoo wake na familia yake. kama bro wako yuko hivyo sorry man
If she knows what you are saying.
she knows 100%. Aisee msasha x-mass unaenda mashati unipe lifti?
Unaweza kupanda stauti wewe?
Stauti ndo gari gani tena iyo?
Kwani huu mtarimbo mpaka mtu mwingine akulishe? wewe mwenyewe huwezi kujilisha? kwani wewe GP huwa anakulisha nani huu mtarimbo?
Nipiemu tafadhali kunambi kwa more details,naona huu mtalimbo una matatizo,una unyanyasaji wa kijinsia.mademu ndio huwa wanakula mtalimbo,kwa maana wanapewa,na wengine huwa unawafanya walie either kwa furaha au machungu! ZD umenipata hapo au bado hujaelewa? sasa nitakuambia sasa kama hujaelewa
Pick up kama yale ya kubebea mbege kule kibosho!
mademu ndio huwa wanakula mtalimbo,kwa maana wanapewa,na wengine huwa unawafanya walie either kwa furaha au machungu! ZD umenipata hapo au bado hujaelewa? sasa nitakuambia sasa kama hujaelewa
Hiyo siezi panda aisee!! najua itakua haona AC. wala sehemu ya keweka tusker ya kopo! na siti zaka zitakua sio adjustable.
Jamani nimeusikia wimbo wa lady jay dee,
wimbo huo unasema mtarimbo umelala doro.
Nimejaribu kufikiria nini maana ya wimbo huo?
Nikaangalia maudhui....dahhh nikafeli.
Naomba anayejua maana ya wimbo huo anisaidie kunielimisha.
Mmm minahisi labda anamaanisha jamaa flani mtarimbo haupigi mzigo umelala doro. sasa ananichanganya pale anaposema ''hukutosheka vya sahani, tumezungusha ungo'' sijui ndo jamaa anataka nini zaidi ya sahani ya kawaida.
Bado sijaelewa mkuu... Fafanua zaidi tafadhalimtalimbo umelala doro ni sawa na kusema kisu chako hakikati usiniharibie nyama!
umeshawahi kupanda toroli wewe?Ile ukipanda ni kama umepanda toroli!