Video: Mtalimbo Umelala umelala doro

vivian hujaona toka asubuhi naomba kuambiwa maana yake ili nichangie huu uzi?? only to get a skeleton saa nane hii

We bila practical training hili somo halitakuingia kichwani vizuri!
 
HA HA HA, No cooment, nawaachia wengine waje wajibu, mh! Sina la kusema, watakuja wenyewe wakujibu,

Nguli its like you have something to say.....tafadhali kama unacho sema dont hesitate.....
 
BHT sina cha kusema namtania XSPN, hayo maneno yanasemwaga sana na member wengi humu endapo hawaelewi post.
 
Nguli its like you have something to say.....tafadhali kama unacho sema dont hesitate.....
bht,nakushauri achana na mtalimbo,hivi hujiulizi kwa nini wanazungusha tu toka asubuhi? Inawezekana sio chakula chema.Isije ikawa inafanana na matunda aliyokatazwa Eva asile kule bustanini edeni.Vyakula vingine sumu ujue! Eva alipokula lile tunda "alikufa"Nakuonea huruma my only young sisy usije kufa kwa vyakula hivi vigeni sijui mtarimbo.
 
sitaki tena kujua!! Asante ZD, you guys keep the mtalimbo/mtarimbo/mtaimbo (warever) thing for yourselves!!!
 
It cant be KEPT if s/one does then ana matatizo makubwa sana sana na ni balaa kwenye ukoo wake na familia yake. kama bro wako yuko hivyo sorry man
 
Back
Top Bottom