Video: Mtalimbo Umelala umelala doro

It cant be KEPT if s/one does then ana matatizo makubwa sana sana na ni balaa kwenye ukoo wake na familia yake. kama bro wako yuko hivyo sorry man

siwezi kukoment hap coz siujui Nguli.
 
Kwani huu mtarimbo mpaka mtu mwingine akulishe? wewe mwenyewe huwezi kujilisha? kwani wewe GP huwa anakulisha nani huu mtarimbo?

mademu ndio huwa wanakula mtalimbo,kwa maana wanapewa,na wengine huwa unawafanya walie either kwa furaha au machungu! ZD umenipata hapo au bado hujaelewa? sasa nitakuambia sasa kama hujaelewa
 
mademu ndio huwa wanakula mtalimbo,kwa maana wanapewa,na wengine huwa unawafanya walie either kwa furaha au machungu! ZD umenipata hapo au bado hujaelewa? sasa nitakuambia sasa kama hujaelewa
Nipiemu tafadhali kunambi kwa more details,naona huu mtalimbo una matatizo,una unyanyasaji wa kijinsia.
 
mademu ndio huwa wanakula mtalimbo,kwa maana wanapewa,na wengine huwa unawafanya walie either kwa furaha au machungu! ZD umenipata hapo au bado hujaelewa? sasa nitakuambia sasa kama hujaelewa

We kijana taratibu!! Unaingia nyumba za watu bila kubisha hodi? Utapigwa n'chale!
 
labda anamaanisha anachokiimba...tutajuaje yanayojiri huko chini ya paa lake...
 
Jamani nimeusikia wimbo wa lady jay dee,
wimbo huo unasema mtarimbo umelala doro.
Nimejaribu kufikiria nini maana ya wimbo huo?
Nikaangalia maudhui....dahhh nikafeli.
Naomba anayejua maana ya wimbo huo anisaidie kunielimisha.

Wacha we hujui mtarimbo (mtaimbo)? Kuna mtaimbo ule unaowekwa katikati ya kitu kilichotobolewa ili kitu kizunguuke. Mfano mzuri ni ule mtaimbo wa baskeli unaowekwa ili ringi izunguke. Mtaimbo mwengine unajulikana sana na watu wa pwani kwenye minazi. Huu mara nyingi unakuwa chuma kilichonyooka kikiwa na ncha kwa juu ili kufulia nazi (Kufuwa nazi inabidi iichomeke kwenye mtaimbo ukisha uisukesuke ili kutowa makumbi upate nazi yenyewe)
Sasa kama mtaimbo umelala ina maana haufanyi kazi yaani kwa ule wa Baskeli hauzunguushi ringi na ule wa nazi ina maana kuwa hauwezi kufuwa nazi! Doro Kiswahili maana yake kivivu kabisa!
Nafikiri hiyo nyimbo haitokutatiza tena!
 
Mmm minahisi labda anamaanisha jamaa flani mtarimbo haupigi mzigo umelala doro. sasa ananichanganya pale anaposema ''hukutosheka vya sahani, tumezungusha ungo'' sijui ndo jamaa anataka nini zaidi ya sahani ya kawaida.
 
mtalimbo umelala doro ni sawa na kusema kisu chako hakikati usiniharibie nyama!
 
mhhh ni kweli hamuujui mtarimbo au mnatania?????
mtarimbo umelala doro
it means.....impotent penis......
ohh could be i am the one who missed the point??????
 
Mkuu, ili kumaliza udhia nimeambatanisha na video yenyewe ya wimbo. Sasa huenda wengine wakabadili comments zao wenyewe, tafsiri zetu zaweza kuwa tofauti na kilichoimbwa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom