Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Video inaleta maswali amabayo ni mengi kushinda majibu mpaka sasa.
Hii video wameitoa wapi, kama kupitia a reputable media ni ipi?
au ni nani karekodi na huyo jamaa anautaratibu wa kurekodi video hata kwa matumizi binafsi au ndio mara ya kwanza, na katumia nini camera au simu? maana mtu wa kawaida hawezi kurekodi tukio kama lile na yeye akimbilie straight kwenye walioudhurika angeogopa tu kama wengine walio kaa mbali, this guy must be taken for questioning soon.
CDM wanautaratibu wa-kurekodi their political rallies if yes are there prior evidences if not why this one?
CDM wanauhusiano gani na huyu jamaa alierikodi, kwanini asizipeleke kwenye media au police aanze na CDM?
Kuvaa nguo za polisi aina maana jamaa lazima alikuwa polisi anaweza shona sare yake na yeye na kupata mabomu na risasi za serikali kama ndio zilizo tumika na kama kweli ni polisi ni picha yake hiko wapi na aelezee kafanya hayo matendo kwa amri ya nani maana JK alikuwa UK kipindi hicho na mawaziri kebe tu.
Maswali ni mengi naelewa CCM kama chama kilicho ishiwa na itafanya mengi kubaki madarakani but i just dont buy this one, someone needs to be hanged here. Atuwezi kucheza na maisha ya watu kisa uchu tu wa madaraka.