Ndio maana ikawa karibu na geti si ndio, clearly you dont know nothing regarding CCTV
wewe mwehu kwelikweli...Hiyo set up ya getini ndio unakumbuka?Ndio shida ya planner wenu...mnaowaita "wenye weledi, sijui mahiri"
-Camera inawewa ktk mahali panapohisiwa na ina ya adui anayehisiwa....wengine hata getini hawaweki.What if mtu anatua na parachute?what if anaingia ktk box km mzigo?
-Kutokana na mazingira na uhitaji wa ulinzi zinaweza kuwepo kamera nyingi sana, zinazoonekana zisizo onekana, za kuzugia, na maalumu kwa ajili ya kchukua picture za tofauti kama kuhifashi sehemu maalumu na kazi maalumu
-Camera ili iwe secure inahitaji kufichwa, kulindwa na nyingine,kukaa sehemu zisizofikika bila kumrecord anayezifuata.
mpaka hapo utakapo kuja na video yako au picha kama za Mwangosi na askari wa serikali ndipo tutakapo amini , vinginevyo so far tunachukulia pengine ni kama yule sampuli ya Mwanajeshi wa Lema only this time karusha mabomu na kupiga watoto risasi kwa faida za M kuonewa huruma za kisiasa.
Mwanajeshi wa Lema,,,,nani kathibitisha hakuwa mwanajeshi?kwanini askari hawakujiuliza hayo mapema?
Kwani ulipoona ya mwangosi ulisaidia nini, na sasa ukiona km uakavyo utasaidia nini?Km yote hayo uliona bado hutaki kubali kuwa serikali haikupaswa kuaminiwa tena,nini kitakubadili tena?
After row CDM walijidhatiti kwa malengo maalumu ya kiulinzi, sasa na watazitumia kwa malengo na mipangilio hiyo hiyo..na wala hawapo holywood udhani wanakuletea movie ya kujichekesha halafu kiishe na wewe na magamba wengine waanze kimbizana uchina kutafauta kam hizo.Km una faida ulipaswa kuwawajibisha polisi kwanini hawana ushahidi na walikuwepo eneo la tukio?
Mbona unaongea kama unamjua huyo mrusha bomu kwa sura au police tactical on that day, do u know anything that the rest of us dont know, vinginevyo unamwaga pumba tupu ama unataka kutulazimisha ukweli uliojiaminisha wewe, for some unless you bring evidence huyo atakuwa askari wa Lema tu (i am entitled to think independently especially where the evidence is vague).
typical of a puppet on a string do not question ndio nyie kesho huwa mnafanywa chambo kwa maslahi ya wachache just as in this instance (well kind of)
Nadhani unaongea ukiwa unasinzia kwa mikesha mingi uliyokuwa nayo, sasa wakati wa pufanya party CDM wamekurudisha tena ktk sleepless nights.Lazima uwezo kufanya maamuzi uwe impaired.
Kwa watu wenye akili timamu na iliyofunguka na wenye kufuatia matukio ,mamabo yapo wazi sana.Kwa wajinga km wewe unayedhani polisi aliyepo kwenye scene si jukumu lake kuchukua evidence na hata kuwakimbiza hao jamaa km hakuwa ktk mabi yenu.
Amazing of you to mention the court of law considering you dont believe in a fair system currently, may be you live in ya own imaginary world ndio sababu hata argument zako zipo eclectic to justify ya own nonsense which is all over the place.
Amazing is your English my friend.....sijui magamba mnapata vipi shida wakati kil akitu kipo wazi kabisa..?hataa watoto wapo very analytical ktk hili, wamepigwa risasi na polisi.N ampiga bomu alilindwa na polisi.Watu walipiga mawe polisi baad aya polisi kuwashambulia na risasi kwa hiyo kauli ya Lukuvi ni umbea na si uongo tuu.
this is why we do not need an inquiry because you have the face of the man that threw the bomb, i tell ya you so clever Nicholas (in your own little world).
Kwani hata mnajua maana ya inquiry hata mjue hitajiko lake?That was a real time action ktk mazingira mbayo polisi walitakiwa waonyesha watanzania kuwa ni kweli wayasemayo kuwa...Tumfanikiwa yazidi majambazi sugu ktk mtego wetu...zoezi lililochukua takibani masaa 6 bila kupumzika.
Kijana ambaye baad aya kurusha bomu hakuwa tena na kitu wakamwacha wakaanza jibizana na watu na kumtorosha.
Cha kujiuliza ni hilo gari lililotajwa ndilo mlilotumia?
hii nawaachia wale wanaolinda saa hizi na wanajiliwaza na JF wasome pumba hizi maana hata uelewi the purpose ya security camera kumbe.
wewe ndio wmehu kabisa.Malengo ya mweka CCTV yapo mengi sana mojawapo yakiwa haya:
-Espionage za makampuni ktk lab au hata board rooms.watu huweza weka camera zenye zoom kali zana kiasi cha kuweza soma hadi tarakimu km karatasi,simu au laptop.
-Wengine kuwachunguza wapenzi wao.
-wengine kuwatisha wafanyakazi ili wafanye kazi .
-Wengine kuweka kumbukumbu n ushahidi in case ..Km ktk ATM na mabenk, majumbani kwa watu wengi.
Halafu kuna ile ya monitoring...hii ndio inakuwa na watu wanaofuatilia matukio kwa kamera huku wakiwa ktk chumba na screen kibao, wakiwasiliana na watu wa usalama wa eneo husika kwa kila kitu wakionacho kutia mashaka.Hawa ndio wana fanya protection.
Kwa scenario ya CDM isingewezekana kuwa kwa ulinzi 100% hata km walikuwa wakifanya live streaming,kwanza watu walikuwa wengi, pia Mbaya zaidi ni kwamba Polisi wasingesaidia zaidi ya kufanya mizaha kuwa yule jamaa hakuwa na kitu na pia kufanya mizaha kuwa CDM ni wazushi.Pia yule dogo km alifunga ktk mfuko mweusi ,si rahisi sana kuhisi kwani kuna watu wengi walikuwa namifuko, mabag, makoti etc.Na muda lilipo rushwa huweza waambia watu kwa haraka hata wasogee au hata polisi waliwahi kabla ya kutua.Kwa hiyo kamera ilitumika kuweka ushahidi ktk scenario hii.
.Those are the allegation but they have no backup evidence to justify them, just as i believe the whole thing was planned by CDM.
Kwa mikwara tu amjambo, aliekwambia hatakuja kwenye rally zenu nani mumtungue bomu wenyewe, unacheza wewe.
mjomba sio wote ni wanasiasa humu wengine ni passive tu kwanini huwa amuamini.
Wewe kinakuwasha nini km ni mikwara au hawana?Mbona roho inakuruka hivyo kwa kazi za nyumba ya pili?Unaita kitu wazi allegations.Polisi wanakiri kuua watu kwa risasi hilo tuu ni kosa kwa polisi..polisi kutokuwa na ushahidi hata wa walichokiona ni kosa lingine ambalo mahakama inahitaji wawajibisha.Polisi kuanza waharasi raia kwa kazi waliyopaswa fanya ni aibu ingine.