Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

tzkwanza

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
1,568
3,604
Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu.

Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu.

Nina uhakika idadi na taarifa zao mnazo ila ni uvivu tu wa kuwafatilia na kujua wanaendeleaje.

Maeneo au machinjio ya waafrika wengi ni Saudi Arabia na Oman....Haya ni maeneo hatari sana sio kama Dubai au Qatar, tafadhali Balozi za Oman na Saudi Srabia saidieni Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Undeni hata magruop ya whatsap tu muwe mnajuliana hali. Mbona vibali vya hao watu hasa wafanyakazi wa kazi za ndani vimetoka serikalini?
Mnawajua wote ila hamtaki kuwapa msaada wowote.
Wengine wamenyang'anywa passport na waajiri wao ili wasiweze kutoroka n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwaseme vibaya Waarabu, Waafrika wanateswa hata hapo South Afrika tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao! Tuache unafiki, ubaguzi upo sehemu zote, ngozi nyeusi inateswa popote pale

Ila ikiteswa na ngozi nyeupe inakuwa nongwa kwelikweli. Waafrika wanaouliwa sasa hivi huko Afrika kusini,kwa sababu wanaofanya mauaji hayo ni Waafrika weusi,sijasikia mwanasiasa yoyote mweusi wa SA, akipiga kelele, kwa sababu wanajua kinachopelekea hayo, hari ya mbaya ya kiuchumi ya wa Afrika kusini weusi,ni vita ya kugombea rasilimali ajira lakini mauaji hayo yangefanywa na weupe, kelele zingekuwa nyingi sana.

Black American akimuua Black american ni sawa, hutasikia kelele, lakini Black american akiuliwa na Mweupe, kelele na maandamano kibao,ukweli mchungu ni kwamba,Black Americans wanauliwa sana na wenzao weusi kuriko weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huko South Africa wanafungwa kwenye viti na kuchapwa kama watumwa? Huko wanasema nenda zako, huyu haendi kokote ni adhabu tu. Hakuna unyama wowote unaofanywa sehemu yeyote unaoweza justify huu tunaouona kwenye video.

Usiwaseme vibaya wa arabu,waafrika wanateswa hata hapo South Afrika,tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao!tuache unafiki,ubaguzi upo sehemu zote,ngozi nyeusi inateswa popote pale,
Ila ikiteswa na ngozi nyeupe inakuwa nongwa kwelikweli.Waafrika wanaouliwa sasa HV huko Afrika kusini,kwa sababu wanaofanya mauaji hayo ni Waafrika weusi,sijasikia mwanasiasa yoyote mweusi wa SA,akipiga kelele,kwa sababu wanajua kinachopelekea hayo,hari ya mbaya ya kiuchumi ya wa Afrika kusini weusi,ni vita ya kugombea rasilimali ajira.lakini mauaji hayo yangefanywa na weupe,kelele zingekuwa nyingi sana.
Black American akimuua Black american ni sawa,hutasikia kelele,lakini Black american akiuliwa na Mweupe,kelele na maandamano kibao,ukweli mchungu ni kwamba,Black Americans wanauliwa sana na wenzao weusi kuriko weupe.

Nyie jamaa waarabu waliwalisha nini mbona mmekuwa kama mazezeta mkisikia neno Mwarabu. Kwa hiyo Mwarabu akiwatesa tukae kimya eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're so stupid, kuuawa kwa Waafrika huko SA ndiyo iwe justification ya Waafrika kuwa tortured, tormented, abused and humiliated like the way that short video clip portrays? Are you sane?

Njia sahihi nawe ufungue thread ya abuses za SA na kwingineko na zitachangiwa kama kawaida, two wrongs don't make any shit right.

Usiwaseme vibaya wa arabu,waafrika wanateswa hata hapo South Afrika,tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao!tuache unafiki,ubaguzi upo sehemu zote,ngozi nyeusi inateswa popote pale,
Ila ikiteswa na ngozi nyeupe inakuwa nongwa kwelikweli. Waafrika wanaouliwa sasa HV huko Afrika kusini,kwa sababu wanaofanya mauaji hayo ni Waafrika weusi,sijasikia mwanasiasa yoyote mweusi wa SA,akipiga kelele,kwa sababu wanajua kinachopelekea hayo,hari ya mbaya ya kiuchumi ya wa Afrika kusini weusi,ni vita ya kugombea rasilimali ajira.lakini mauaji hayo yangefanywa na weupe,kelele zingekuwa nyingi sana.
Black American akimuua Black american ni sawa,hutasikia kelele,lakini Black american akiuliwa na Mweupe, kelele na maandamano kibao,ukweli mchungu ni kwamba, Black Americans wanauliwa sana na wenzao weusi kuriko weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom