Video: Makonda sasa amgeukia na kumshambulia Lowassa

Video: Makonda sasa amgeukia na kumshambulia Lowassa

mkuu leo unataka kujitoa timu Lowasa?

Ungenijua mie na wala RUSHWA wapi na wapi...Hata CCM sipo kabisaa.Ila huwa napenda kusema UKWELI tu..fitina kwangu mwiko.

Hakuna kitu kibaya kama kuendekeza VISASI..........Jaribu utaona ninachokieleza..............

Wanasema HESHIMA ya mzazi hurithiwa na watoto,jinsi mzazi wako anavyokaa na wati vizuri ndivyo maisha yako yatakavyokuwa yana amani na mafanikio..............

Baba asipoheshimu majirani zake au jamii yake mtoto lazima cha moto utakiona.........toka huko duniani uone ndipo utakapo kubaliana nami.Sijishughulishi na mahasimu hawa wawili Lowassa na JK ninawaonea huruma watoto wao tu.Kaka VISASI huwa haviishi hata siku moja..........Angalia vita vya Rwanda na Burundi,vipo kwa sababu ya kurudisha VISASI kwa jamii husika........
 
Huyu kijana hamjuwi lowasa kabisa,
Anamtaji wa wabunge zaidi ya 150 hao ni ambao wamejitokeza kuna wengine wapo chini chini, shauri yake sisi hatumo tupo zetu UKAWA.
Bora wasambalatishane wao kwa wao kabla ya muda.

Pamoja na mtaji wake, ila baba RizMoko ana influence kubwa sana ktk kamati ya kuchagua mgombea wa sisiemu, kama haivi naye, basi ndo jioni ishafika. Dogo naona katumwa!
Ila huwezi jua, sisiemu kiasi fulani "vichwa", huenda kuna gemu wanacheza na watu wanaingia kichwa kichwa bila kujua mkakati uliopo nyuma ya pazia.
 
ha ha ha ma ccm yanageukana wao kwa wao..


mzee mengi ndio kiboko ya ma ccm.. amguse mengi kama ajajikuta ukuu wa wilaya kaporwa kawa mkuu wa chumba chake tu..
 
Pamoja na mtaji wake, ila baba RizMoko ana influence kubwa sana ktk kamati ya kuchagua mgombea wa sisiemu, kama haivi naye, basi ndo jioni ishafika. Dogo naona katumwa!
Ila huwezi jua, sisiemu kiasi fulani "vichwa", huenda kuna gemu wanacheza na watu wanaingia kichwa kichwa bila kujua mkakati uliopo nyuma ya pazia.

Hapa hakuna dalili ya mchezo....maneno mazito haya
 
Wadau video hii kwa ambaye hajaiona....kijana Makonda anaonesha confidence ya ajabu...sioni mwisho mzuri wa hawa wawili. Mzee akiamua kujibu itakuwa shida.



Kama upo makini ameshaanza kung'olewa meno, wamempa u-DC ili kumtoa Kamati kuu, ili asimsumbue Lowassa, nafasi ya u-DC atadumu nayo miezi michache kabla ya uchaguzi baada tu ya uchaguzi atapata revenge na atapotea kbs katika siasa na status of any kind na hapo atarudi urambo kwa mlezi wake, atakwenda kukaa kwenye ile ofisi ya speaker ambayo mlezi wake alijenga akidhani kuwa atakuwa speaker wa bunge maisha.
 
Last edited by a moderator:
Kinachotakiwa kufanywa na Watanzania ni kumpuuza tu aliyefanya teuzi hizi.Vinginevyo hapa kuna hatari ya zaidi tunavyoiona kwa sasa.Haiingii akilini kwa viongozi wakuu wa Taifa hili kwa kuanza kufarakanisha Watu wa Taifa hili.
 
Kama upo makini ameshaanza kung'olewa meno, wamempa u-DC ili kumtoa Kamati kuu, ili asimsumbue Lowassa, nafasi ya u-DC atadumu nayo miezi michache kabla ya uchaguzi baada tu ya uchaguzi atapata revenge na atapotea kbs katika siasa na status of any kind na hapo atarudi urambo kwa mlezi wake, atakwenda kukaa kwenye ile ofisi ya speaker ambayo mlezi wake alijenga akidhani kuwa atakuwa speaker wa bunge maisha.

Ana imani ataendelea na U - DC hata baada ya Uchaguzi.....kama jengo la Urambo lilivyojengwa
 
Watu wa juzi juzi wanawakoromea wazee wakongwe wenye watu kwenye system....nchi yenyewe haki ni shida

Najaribu kufikiria alipata wapi ujasiri huo. Yule jamaa ananyamazaga kama ---- flani ila ni mafya. Oohoo. Jk mwenyewe anamjua vizuri, cyo ---- yule ata kidogo. Ukimya wake unamengi
 
Huyu dogo Makonda sidhani kama is ready to face the consequences, let us wait and see
 
Binafsi simkubali kabisa Lowassa kwa sababu za ufisadi wake!

Lakini inapofikia hatua ya kuongea na mtu mzima kn yule huwa ni lazima nijinyenyekeze, nitumie lugha yenye adabu na heshimam???

Hivyo ndivyo nilivolelewa na wazazi wangu!

Kwa kumpiga mzee Warioba ni wazi Paul Makonda amepokea laana itakayomtesa sana ktk maisha yake yoye ya kuishi hapa duniani!
 
Nakumbuka Mbowe alikanusha matamshi ya Nassary wakati fulani.Mpaka sasa hivi chama tawala hakijatoa tamko lolote kuhusu hii ya DC mteule.Kwa matamshi haya,Chama kwishameguka.
 
Kwani dogo anasemaje? Nipe details japo kwa ufupi kwangu inagoma kufunguka. Tafadhali.
Anampa shit EL
Kwamba ni fisadi
Hafai kuwa rais
Hafai kuwa Amir Jeshi
pia kawapa shit mashehe na maaskofu
kwamba wanapokea rushwa kwa EL
na kijana yeyote anaye taka fedha
za ghafla,eti aende kwa Lowasa.
YETU MACHO...:shocked::shocked:

...........wanaomtuma iko siku watamruka.......sinema imeanza.........
 
KAMA LOWASA LEO HII AKIDONDOKA AFE
HUYU DOGO ANAHUSIKA:tongue:
 
No....No....No......ARK hatukubali haya ya DC Mteule.Tunamuheshimu Lowassa.Kama hizo tuhuma zipo nadhani Chama tawala kina taratibu zake na siyo kama alivyofanya DC.Huku ni ku kivunja Chama tawala.
 
Nakumbuka Mbowe alikanusha matamshi ya Nassary wakati fulani.Mpaka sasa hivi chama tawala hakijatoa tamko lolote kuhusu hii ya DC mteule.Kwa matamshi haya,Chama kwishameguka.

Nashindwa kuamini kama aliyasema kwa nguvu zake au alitumwa.
 
Back
Top Bottom