Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Mkuu wa wilaya tumia mbinu ile ile ya warioba upate ubunge wa kuteuliwa
Namskitikia makonda kwa sababu wanaomtumia ndani ya ccm hawana ubavu wa kupambana na edo na je ikitokea edo akachukua nchi itakuaje kwa makonda?
What if u have a great friend and then he turn back on you
Mnajiaminisha vitu amabvyo hata havipo tanzania siyo kundi la sacos kuwa unaweza kufanya unavyotaka.Cyo makonda pekee... yaani lowasa akipita kuna wa2 watakuwa na Hali mbayaaaa....
hata mkuu wa kaya na familia ykee...
hapo sasa, mgeni wa siasa kama SLAA anaweza ila mina uhakika hawezi ku-existSasa kama anaroho ya hivyo kunahaja gani ya kumpa uongozi wa nchi hii nadhani itakuwa vema akachunge mifugo wake huko.
ndiyo maana nasema siku zote , Lowassa anawafaa sana UKAWA sababu huko ndo kuna kulipiziana visasiCyo makonda pekee... yaani lowasa akipita kuna wa2 watakuwa na Hali mbayaaaa....
hata mkuu wa kaya na familia ykee...
Lowassa awe rais wa nani jamani, mbona tunajidhalilisha hivyo.
Acha Maneno mengi, weka video tuone au watumie mods kwa whatsapp namba iko hapo juu.
Makonda atakonda na kuwa konda wa mabasi yaendayo kasi!
Cheki sehemu ya video hii ambayo huyu jamaa Makonda akianza kurusha makombora kwa Lowassa. Inavyoonekana huyu Makonda ni kama midomo ya watu(attack dog) wa watu fulani ambao ndio wanampa kiburi na ubavu hata wa kupambana kwa kiwango cha kutaka kumdhuru mzee wetu Warioba.