Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Watu wa juzi juzi wanawakoromea wazee wakongwe wenye watu kwenye system....nchi yenyewe haki ni shida
Shida ni Mkuu wa Kaya,hata kama anataka kulipiza kisasi kwa Lowasa siyo kwa namna anavyofanya.Kuna kesho na kesho kutwa,ana watoto na wajukuu,tena afadhali wale wenye kuzaliwa na watoto wake wa kike kuliko wale wenye kuzaliwa na watoto wake wa kiume.Kisasi huwa hakiishi,watarudishiwa wasiohusika sababu tu ya BABA yao,alitakiwa ajifunze hasa baada ya Lowasa kuwa mkimya juu ya hayo anenewayo.
Mimi siyo TEAM Lowassa lakini kwenye haki tuseme ukweli....Mkuu wa kaya akili imeenda ali jojo.