Hii post yako imepotea njia. Lakini kuna kitu nakiwaza kinaitwa Swap, Acha niendelee Kuota.Yanga ni lidude likubwa saaaaana
Ni DEJAN bhana.Au Merquesone?
Kabisaa yaan.kiukweli tunahitaji striker mrefu mwenye kasi jamani, manzoki fits the bill